Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,358
- 176,164
Kama utoto wa kataa ndoa, ujinga ujinga tu.Huu sasa unakua utoto
Kama utoto wa kataa ndoa, ujinga ujinga tu.Huu sasa unakua utoto
Tunapangiana hadi chakula, masikini ana taabu sanaKama utoto wa kataa ndoa, ujinga ujinga tu.
Yaani🙆♂️Tunapangiana hadi chakula, masikini ana taabu sana
Upishi ni taaluma.Ukizubaa unaletewa uji kwa supu ya kabeji.Aisee. Mkuu umeongea kitu cha maana kweli.
Kuna mhaya alipika ugali aisee ulikuwa tepetepe kama ndizi.
Nyuma ya pazia wanasema sitaki ugali kumbe hawajuui kupika ugali
Mboga ya taifa hiyoDagaa mchele will do😋😋😋
Wazazi wenu wamekuzwa na hayo mahindikabisa mkuu maana ukila sana mahindi ni hatari kwa afya kuna ugonjwa unapata ukiachana na kisukari
Na ka mboga ka majani, unakula hadi unasahau shida zako.Mboga ya taifa hiyo
kabisa ila tunakula kwa shida tu mkuuWazazi wenu wamekuzwa na hayo mahindi
Tulipaswa kuelumishana madhara na namna ya kujitoa na sio kuubeza ugalikabisa ila tunakula kwa shida tu mkuu
Dipresheni unazitupilia kuleeeNa ka mboga ka majani, unakula hadi unasahau shida zako.
Tupo kwenye kizazi cha kipumbavu sana mkuu!Kua na mwili ambao hauhitaji kwenda Gym sio kwa sababu ya kutokula ugali, watu tunakula ugali sana na kitimoto kwa sana na bado tuna miili imejenga kama vile tunaenda gym. Nenda usukumani na ukuryani, 97% ya main dish yao ni ugali lakini huwezi kukuta wako overweight.
Ugali ni wanga, usipokula ugali bado utakula wanga kwa namba nyingine, wanga haukwepeki kwenye maisha. Saa kusema ugali ni mbaya halafu unakula wanga nyingine mfano kwenye mkate, cake, wali nk hapo ndip inaonyesha watu wengi wana elimu ama uelewa mdogo kuhusu wanga ama ni wajinga tu.
Marekani hawali ugali, 40% ya population yao ni overweight, Mexico hawali ugali, 37% ya watoto wa umri wa shule ni obese ama overweight. Ugali haujawahi kua sababu ya overweight, miaka na miaka tumeamka wazee wetu walikua wanakula ugali tu na hawajawahi kua overweight.
Watu mna miili ya ajabu ajabu, inferior yenye kushindwa kuhimili wanga mnasingizia ugali. Tena ngoja nikaupige sasa hivi.
Unakuta mtu mkewe anapika ugali na michuzi ya nyama nyanya zinaelea juujuu unategemea utaupenda ugaliUgali Hauna Shida,,,Mchawi Mboga....
Wazambia hata mtu awe nani sijui kiongozi lakini ugali mapemaUgali umenikuza siwezi kamwe siwezi kuudharau.. Kwangu Mimi chakula ni ibada
Hawa watoto wa 2000 wpuz sanaTupo kwenye kizazi cha kipumbavu sana mkuu!
Wazee wetu wamekula ugali tangu wakiwa na miezi 2 lakini angalia akili zao!
.
Mfano akili za kizazi cha 60's utalimganisha na hili chenye akili kama za broila huku wanakataa kula ugali?
Mbona sasa upo mlemle kwenye wanga??Chips, tambi, mihogo, viazi, chapati etc, ugali siupendi asee
Nitakutana nazo keshooooooo🤣🤣🤣Dipresheni unazitupilia kuleee