Fundi mahiri wa Ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 4,716
- 3,677
Mbadala wale nini ndugu?View attachment 3389068
Oooh sababu ya sisi kudumaa hadi akili ni kwa sababu ya laaana , blah blah blah
NI UGALI, HAKUNA KINGINE
Je, hali zao za kiuchumi zikoje kuweza mudu huo mbadala?
Kumbuka 80% ya watanzania chakula Chao kikuu ni ugali.