Nina miaka mitano sijala UGALI

Nina miaka mitano sijala UGALI

Wali ni mbaya kuzidi ugali kwenye afya, na Ugali unapunguza mwili ndiyo, lakini mwili hauwezi, kamwe kujengeka kama wa Gym kwa kuacha kula ugali, mwili una shrink, na yes unakuwa shapeless; Mwili wa Gym ( ni wa Gym tu ndugu )!

Mwili wa Kuacha ugali unafanana na wa Dr Janabi, sasa kama mwili wa Dr. janabi niwa Gym, hapo ni sawa na WA kwako ni wa Gym.

Ulipolala tumeamkia dogo!
Kmmmmk...kwamba reference code ni Doktori Jana B...🙌🤣
 
Na unajisifia kabisa....kuna mwenzio alikuwa HALI kabisa nikashangaa mimi, nilipouliza kwa nini! wakasema akila anatapika🙂,nikawauliza jela wanasema kule ni ugali tu, akienda huko? Mtampelekea wali kila siku😄? ila Mungu si wanasema sio bwana Tobo wala Bi Thamia?akaenda jela bhana...STORY MALIZIA MWENYEWE🤐

nb..kuna ugali na kuna kinachotumika kutengenezea Ugali
 
Vijana wa 2000 nawaangalia tu. Mwingine kasema sili ugali nakula mihogo, nk hapo sasa ndo umekwepa nn.
Ki msingi katika nchi zinazoendelea kuacha kula vyakula vua wanga ni ghatama kubwa na kula wala usiwaze sana mi huwa nakula ninachojisikia kula siku hiyo
 
Back
Top Bottom