min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,597
- 128,258
Hahaha usije gusa kitimoto tafadhaliNikiingia bungeni naanza na kufuta ugali kisha mapenzi
Hahaha usije gusa kitimoto tafadhaliNikiingia bungeni naanza na kufuta ugali kisha mapenzi
UbwabwaSasa unakula nini? Viazi?
Nikisonga ugali nikiula unanata kwenye mikono sijui ndio mimi sijui kuupika ila nikila sehemu nyingine ni mzuri tuUgali ufutwe
Na nyie mpo kama wazaramo?Ugali kwetu uchagani ni chakula cha mwisho , naona ndio sababu ya mimi kuto upenda ni wachaga wachache mno wanaopenda ugali
Shemeji oa, ya nini kula ugali mbichiNikisonga ugali nikiula unanata kwenye mikono sijui ndio mimi sijui kuupika ila nikila sehemu nyingine ni mzuri tu
Kitimoto 😂Mimi situmii ugali kabisa toka kidato cha tano ila nimemisi ugali na kitimoto 😋😋😋😋
Kumbe ndio mbichi shemeji?Shemeji oa, ya nini kula ugali mbichi
Ukiiva tu mbaya sipati picha saa na ukiwa mbichi aaaagrrrrr ugali ufutweKumbe ndio mbichi shemeji?
Unanata kwenye mikono kindezi sana waufute kabisaUkiiva tu mbaya sipati picha saa na ukiwa mbichi aaaagrrrrr ugali ufutwe
Sasa usipokula ugali utakula nini dipreMweeeeh! Ugali ninavyoupenda😭😭
Bro, Usisahau kuifuta CHAUMMA 😅Nikiingia bungeni naanza na kufuta ugali kisha mapenzi
Mahindi ya kuchemsha pia hauli?Chips, tambi, mihogo, viazi, chapati etc, ugali siupendi asee
Juice ya miwa na mayai ya kuchemsha hio ndio menu yakeTupe menyu yako mkuu
Hapana bro chauma haifutwi, ubwabwa tutakula wapi sasa??Bro, Usisahau kuifuta CHAUMA 😅
Na mbaya zaidi anajiita Dokta labda Dokta wa Mizizihapo ndip inaonyesha watu wengi wana elimu ama uelewa mdogo kuhusu wanga ama ni wajinga tu.
Kwenye yanga tuko pamoja 😂Hapana bro chauma haifutwi, ubwabwa tutakula wapi sasa??
Chauma-ubwabwa maharage
Yanga- supu na chapati
Watakwambia ule Ngano yaan Tambi utoke kitambi km unakunywa ChibukuNini mbadala wa ugali? Hasa mchana