Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,950
- 183,535
Wale wawili wanatosha.Wetu wawil😅
Wale wawili wanatosha.Wetu wawil😅
Sizitaki mbichi hizi.Huyu anakiburi simtaki
Sio kweli shindii.Sizitaki mbichi hizi.
Tulia mlee watoto wenu. Sema itabidi akulee na wewe 🤣Sio kweli shindii.
Shindii kwamba siwezi kujilea🥲Tulia mlee watoto wenu. Sema itabidi akulee na wewe 🤣
Si umeona user name hapo mama watanoWatoto wangapi?
Kila la heri upate mweza. Upweke inatisha mithili ya ugonjwa.
Si ni katoto, inabidi ulelewe.Shindii kwamba siwezi kujilea🥲
Kwenye 40's mwanaume bado kijana mbichi kabisa, especially akiwa stable financially kama unavyotaka. Kwenye phase uliyopo haupo kwenye nafasi ya kuwa na strictly terms and conditions. Punguza masharti na sogeza target yako ianzie 50+.Samahani kama nimewakwaza humu ila lengo langu sio baya, sitaki mume wa mtu, sitaki kijana umri 30-40 hapana at least kuanzia 41-55 awe na yeye ana uhitaji kama wangu. Jamani watoto wamekuwa nahitaji mtu wa kuzeeka nae sasa wewe baba ambae unakimbizana na watoto wa 2000 upate presha ya bure acha kabisa. Na mimi sio tegemezi jamani. Ila na wewe pia uwe vizuri maana huo umri tayari ushajitafuta na ukajipata.
😀😀😀 Shughuli ishakua ngumu30- 40 hautaki kumbe
Ata pata lakini , majamaa waliokata tamaa mbona wapo wengi tu bwashee?😀😀😀 Shughuli ishakua ngumu
Aliachana na mzazi mwenzie mtoto mkubwa akiwa na miaka 6.sasa hivi yupo 44 na watoto wapo chuo. Kimakadirio aliachana na mzazi mwenzake akiwa na miaka 28-32, hii maana yake miaka sio chini ya 15 alikua anafanya exploration hapo kwenye dating pool. Mtego huo.Nyie ndo wale enzi za ujana wenu mlikuwa mmeweka vigezo kuwa kuolewa ni mpaka mwanaume mwenye gari kali,nyumba nzuri kipato na ajira,mkaishia kupewa ujauzito kwa umalaya wenu,leo hii unakuja kujilizaliza jf kutafuta huruma,nyie inatakiwa mfe hivyohivyo hamjaolewa. Ningefurahi ungesema mumeo ashafariki,lakini malaya kama wewe sikuhurumii.
Nilitaka kukukebehi, lakini nilivyosoma kwa undani nimejikuta Kaine huruma kwa kweli! Ila hujajieleza vizuri, kwa mfano una watoto wangapi na umesema uliachana na mpenzi wako mtoto wa kwanza akiwa na miaka 6 sasa hao wengine ulio nao ni wa wanaume wengine? Kama unao zaidi ya huyo mkubwa!Wana jamii Forums hamjambo, hapa ni mahali pekee ambapo naweza kuongea kwa uwazi na bila kuficha chochote. Kuna muda nakuwa na mawazo nashindwa wapi pa kusemea.
Iko hivi kwa sasa nina miaka 44 sijaolewa na sina mwenza ila nina watoto ambao nilipata na mpenzi wangu, mahusiano hatufanikiwa kufunga ndoa. Nimepambana na watoto kwa sasa wamekuwa wakubwa na wote wapo chuo kikuu.
Niseme sio kuwa nakuwa proud na haya maisha ila ilibidi nifunge kibwebwe ili nilee watoto maana mzazi mwenzangu tuliachana toka mtoto wa kwanza ana miaka sita.
Napitia wakati mgumu kwa vile sina mpenzi na kuna muda kama binadamu najisikia kuwa na mwenzangu. Sasa Naomba kwenye Jukwaa hili kama kuna mwanaume ambae na yeye ana watoto na anahitaji mwanamke mtu mzima ambae hawahitaji kuzaa tena karibu. Au mwanaume mgane.
-Ninafanya kazi ila sio mwajiriwa wa serikali.
-Maoni yenu pia ni muhimu lakini usinikatishe tamaa.
-Nina haki ya kupenda tena.
Dada mkubwa anataka ambae ameshajipata wakati yupo kwenye hatua ya ambae anapumua tu.Ata pata lakini , majamaa waliokata tamaa mbona wapo wengi tu bwashee?
Hahaha hapa umepata upenyo wa twanga nyundo zako bwasheeAliachana na mzazi mwenzie mtoto mkubwa akiwa na miaka 6.sasa hivi yupo 44 na watoto wapo chuo. Kimakadirio aliachana na mzazi mwenzake akiwa na miaka 28-32, hii maana yake miaka sio chini ya 15 alikua anafanya exploration hapo kwenye dating pool. Mtego huo.
Hawa vijana wa Siku hizi wala chips wapeleke moto wapi?Njoo k
Njoo kwangu Nina miaka 28, Bado damu inachemkaaa nikupelekeeee moto mpaka ukimbie chumbani sawa wewe mshangazi
FinallyNi pm tuzungumze kwa kina
Hujaweka utaratibu wa kutuma maombi bibie.Wana jamii Forums hamjambo, hapa ni mahali pekee ambapo naweza kuongea kwa uwazi na bila kuficha chochote. Kuna muda nakuwa na mawazo nashindwa wapi pa kusemea.
Iko hivi kwa sasa nina miaka 44 sijaolewa na sina mwenza ila nina watoto ambao nilipata na mpenzi wangu, mahusiano hatufanikiwa kufunga ndoa. Nimepambana na watoto kwa sasa wamekuwa wakubwa na wote wapo chuo kikuu.
Niseme sio kuwa nakuwa proud na haya maisha ila ilibidi nifunge kibwebwe ili nilee watoto maana mzazi mwenzangu tuliachana toka mtoto wa kwanza ana miaka sita.
Napitia wakati mgumu kwa vile sina mpenzi na kuna muda kama binadamu najisikia kuwa na mwenzangu. Sasa Naomba kwenye Jukwaa hili kama kuna mwanaume ambae na yeye ana watoto na anahitaji mwanamke mtu mzima ambae hawahitaji kuzaa tena karibu. Au mwanaume mgane.
-Ninafanya kazi ila sio mwajiriwa wa serikali.
-Maoni yenu pia ni muhimu lakini usinikatishe tamaa.
-Nina haki ya kupenda tena.
Njoo tujaribuHawa vijana wa Siku hizi wala chips wapeleke moto wapi?
Dah,Mwana huwa unaweja pilipili katika chai au kahawa yako?