Nina haki kama binadamu ya kupenda tena

Nina haki kama binadamu ya kupenda tena

Samahani kama nimewakwaza humu ila lengo langu sio baya, sitaki mume wa mtu, sitaki kijana umri 30-40 hapana at least kuanzia 41-55 awe na yeye ana uhitaji kama wangu. Jamani watoto wamekuwa nahitaji mtu wa kuzeeka nae sasa wewe baba ambae unakimbizana na watoto wa 2000 upate presha ya bure acha kabisa. Na mimi sio tegemezi jamani. Ila na wewe pia uwe vizuri maana huo umri tayari ushajitafuta na ukajipata.
 
Half american wewe si ni mstaafu?
 
30- 40 hautaki kumbe
 
Wana jamii Forums hamjambo, hapa ni mahali pekee ambapo naweza kuongea kwa uwazi na bila kuficha chochote. Kuna muda nakuwa na mawazo nashindwa wapi pa kusemea.

Iko hivi kwa sasa nina miaka 44 sijaolewa na sina mwenza ila nina watoto ambao nilipata na mpenzi wangu, mahusiano hatufanikiwa kufunga ndoa. Nimepambana na watoto kwa sasa wamekuwa wakubwa na wote wapo chuo kikuu.

Niseme sio kuwa nakuwa proud na haya maisha ila ilibidi nifunge kibwebwe ili nilee watoto maana mzazi mwenzangu tuliachana toka mtoto wa kwanza ana miaka sita.

Napitia wakati mgumu kwa vile sina mpenzi na kuna muda kama binadamu najisikia kuwa na mwenzangu. Sasa Naomba kwenye Jukwaa hili kama kuna mwanaume ambae na yeye ana watoto na anahitaji mwanamke mtu mzima ambae hawahitaji kuzaa tena karibu. Au mwanaume mgane.

-Ninafanya kazi ila sio mwajiriwa wa serikali.
-Maoni yenu pia ni muhimu lakini usinikatishe tamaa.
-Nina haki ya kupenda tena.
Mungu akujalie haja ya Moyo wako.
 
Back
Top Bottom