Nina haki kama binadamu ya kupenda tena

Nina haki kama binadamu ya kupenda tena

Mimi ni mwanaume rijali
Umri tunaendana kiasi humo humo
Ni mwajiriwa serikali
Ni mfupi kiasi ila napambana na mazoezi kupunguza ukubwa wa tumbo ili urefu wangu asilia uonekane
Sina mke ila niliwahi kuoa nikaachwa
Watoto naogopa kusema ninao maana walishasema mimi sio baba yao ila nahisi wakisikia nimeoa watanifuata tu .
Ni mpenzi wa pombe hasa bia za kisasa ila sipotezi akil zangu nikinywa .
Nina usafiri wangu corolla nzuri kuliko zote mkoani mbeya .
Nina nyumba mbili za kwangu mkaoni mbeya ila ni msimamizi mkuu wa mali za urithi zipo huko Dasalaam hivyo tutaenjoy .
Sina shida ya ngono ila ni vile walau nipate mtu nikipatwa na shida huku bar watu wajue wanaenda kumwambia bwana wako amedondoka au ameshindwa kurudi hivyo nahitaji mwenza wa karibu tuwe wamoja tumalizie maisha yetu .
Napenda mbwa na paka hivyo ukinikubali jua umekubali kuishi na hao wanyama maana kwangu wamejaa kama zoooo

Nadhani mpaka hapo umenijua mimi ni nani enhee ,siji PM maana wewe ndiye umenitaka mimi sijakutafuta hivyo njoo PM mwenyewe ,sitataka maswali yoyote PM ila toa namba tuzungumze kwa sauti zetu .

Wako mme mtarajiwa .
Ahsante
Jf
 
Uzi ufungwe
 
epuka wa mtaani kwako kutokana na mazingira yako, hao watakutumia tu na kukuacha milele.
Hapa unapotosha kwa mawazo yangu.
Watu wanaofahamiana kazini au mtaani ndiyo sahihi kuliko hawa wa ku-download mtandaoni. Cyber-husband au cyber-wife hawa hamjuani tabia Wala magonjwa ya kurithi. Unaweza jikuta umekosea zaidi.
Note: Wenza wa ku-download siyo wote wabaya wengine wanapata watu wazuri au wema sana.
Sizungumzii uzuri wa sura.
 
Kila la heri madam upate ĥitaji lako la moyo

Angalizo mwaka 2021 simtaji jina kuna jinsia KE alipost anahtaj mwandan nam nikajaribu bahat yangu lakn nilichokuja kugundua kumbe n watu wa mfumo wanatafuta watu wao wale wanaoikosoa SIRI...KALI..

Niliponea chupuchupu
 
Hapa unapotosha kwa mawazo yangu.
Watu wanaofahamiana kazini au mtaani ndiyo sahihi kuliko hawa wa ku-download mtandaoni. Cyber-husband au cyber-wife hawa hamjuani tabia Wala magonjwa ya kurithi. Unaweza jikuta umekosea zaidi.
Note: Wenza wa ku-download siyo wote wabaya wengine wanapata watu wazuri au wema sana.
Sizungumzii uzuri wa sura.
Nakubali kukosolewa au kurekebishwa.
-ijapo naamini kuwa kutokana na umri wake na situation yake inawezekana majirani wakawa wanamfahamu sana na wakamdharau sana hvo wakamgeuza kama part and parcel ya kumtumia na kumtupa.
 
Back
Top Bottom