Nina haki kama binadamu ya kupenda tena

Nina haki kama binadamu ya kupenda tena

nakuelewa sana ila sina mizigo wala sitamfuti mtu wa kunisaidia kwa hapa nilipofika natafuta mtu tupendani tuzeeke wote basi. Ukiwaza positive utaelewa nachomaanisha. ndio maana sikukurupuka wakati ule nikiwa na umri mdogo 20's nikaamua kulea na kuwapa elimu sasa kama unavyojua na wao wataondoka kuanza familia zao.
Hujanielewa! Ninaposema mizigo mgongoni sikuwa namaanisha mizigo kichwani.

Mizigo mgongoni, ni watoto wako uliowazaa regardless of their age; maana mtoto kwa mama hakui.

Maana ya mzigo kichwani, ni watoto ambao bado wanakutegemea kwa hali na Mali. Hawa ni sumu ya ndoa ambayo baba si damu yao.

Kwa maana hiyo, usifikiri ni rahisi kupata mwenza na mambo yakawa sawa bila mikiki mikiki.
 
Back
Top Bottom