kupenda tena

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Nina haki kama binadamu ya kupenda tena

    Wana jamii Forums hamjambo, hapa ni mahali pekee ambapo naweza kuongea kwa uwazi na bila kuficha chochote. Kuna muda nakuwa na mawazo nashindwa wapi pa kusemea. Iko hivi kwa sasa nina miaka 44 sijaolewa na sina mwenza ila nina watoto ambao nilipata na mpenzi wangu, mahusiano hatufanikiwa...
  2. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo mapenzi

    Life is not fair unayempenda hakupendi anayekupenda humpendi... Huu ni utafiti wangu mdogo usio rasmi niliofanya.
  3. Magical power

    JamiiForums Tanzania Usiache kupenda tena, yawezekana huyo ndiye aliyekusudiwa kuwa wako.

    Usiache kupenda tena, yawezekana huyo ndiye aliyekusudiwa kuwa wako. Ukiachana na mtu usisuse ila jisahihishe kisha daka chombo tena Usikubali kuishia njiani kwasababu umeachwa, umeumizwa na mtu kwenye mahusiano yako Usijione hufai baada ya kuondoka kwake au baada ya kumuondoa kwenye maisha...
  4. realMamy

    JamiiForums Tanzania Nini kinasababisha Mume/Mke apende tena huku akiwa ndani ya Ndoa?

    Watu wengi hukimbilia kwenye ndoa kwa kudhani kuwa ndoa ni tamu. Mara tunajionea walioko ndani ya Ndoa wakipenda tena nje ya Ndoa huku wakionesha kukinai Ndoa yao. Au Mahusiano ni matamu kabla hamjaingia ndani ya Ndoa? Kuingia kwenye ndoa au kunahitaji mtu mwenye akili za namna gani? Mbona...
Back
Top Bottom