Nina haki kama binadamu ya kupenda tena

Nina haki kama binadamu ya kupenda tena

Aliachana na mzazi mwenzie mtoto mkubwa akiwa na miaka 6.sasa hivi yupo 44 na watoto wapo chuo. Kimakadirio aliachana na mzazi mwenzake akiwa na miaka 28-32, hii maana yake miaka sio chini ya 15 alikua anafanya exploration hapo kwenye dating pool. Mtego huo.
haha.
 
Hahaha hapa umepata upenyo wa twanga nyundo zako bwashee
Mzee mwenzangu, sex life ya wanawake ikiwa exposed nakwambia mpaka wale mabinti ambao wanaonekana wife material unaweza ukawaogopa.

Miaka kadhaa nyuma wakati nina ulimbukeni wa kumiliki hela nyingi nilipata kazi kwenye mashirika ya wazungu, nilikua nalipwa hela nyingi sana. Ulimbukeni wa hela ulinifanya niishi maisha ya kipumbavu sana. Nilikua nikiingia bar nalipa bill za kundi la watu 20.

Kama ilivyo kawaida ya mademu kujisogeza kwenye neema. Niliwapelekea sana moto, na ukiwa bad boy mademu hawakufichi character zao, kwa sababu wanajua hamna future yoyote nothing is serious. Kwaiyo nawajua vizuri sana. Mkuu sex life ya wanawake ikiwekwa wazi utawaogopa
 
Huwa wanakuaje mkuu?
 
Dah,

Ungejua ninavyogombana na watu mara nyngi kuhusu pilipili.

Kuna jirani zangu Wapakistani hao wanapika ma biriani wananiletea, biriani nzuri lakini si kwa mapilipili yale.
sasa mbona huwa una drop verse za slim shady au dmx, kwenye ngoma za kina celine dion?

Ume nikumbusha movie ya kanumba, dar 2 lagos eti too much pilipili.
 
Back
Top Bottom