Nina haki kama binadamu ya kupenda tena

Nina haki kama binadamu ya kupenda tena

mamawatano

Member
Joined
Jan 1, 2024
Posts
20
Reaction score
94
Wana jamii Forums hamjambo, hapa ni mahali pekee ambapo naweza kuongea kwa uwazi na bila kuficha chochote. Kuna muda nakuwa na mawazo nashindwa wapi pa kusemea.

Iko hivi kwa sasa nina miaka 44 sijaolewa na sina mwenza ila nina watoto ambao nilipata na mpenzi wangu, mahusiano hatufanikiwa kufunga ndoa. Nimepambana na watoto kwa sasa wamekuwa wakubwa na wote wapo chuo kikuu.

Niseme sio kuwa nakuwa proud na haya maisha ila ilibidi nifunge kibwebwe ili nilee watoto maana mzazi mwenzangu tuliachana toka mtoto wa kwanza ana miaka sita.

Napitia wakati mgumu kwa vile sina mpenzi na kuna muda kama binadamu najisikia kuwa na mwenzangu. Sasa Naomba kwenye Jukwaa hili kama kuna mwanaume ambae na yeye ana watoto na anahitaji mwanamke mtu mzima ambae hawahitaji kuzaa tena karibu. Au mwanaume mgane.

-Ninafanya kazi ila sio mwajiriwa wa serikali.
-Maoni yenu pia ni muhimu lakini usinikatishe tamaa.
-Nina haki ya kupenda tena.
 
Wana jamii Forums hamjambo, hapa ni mahali pekee ambapo naweza kuongea kwa uwazi na bila kuficha chochote. Kuna muda nakuwa na mawazo nashindwa wapi pa kusemea.

Iko hivi kwa sasa nina miaka 44 sijaolewa na sina mwenza ila nina watoto ambao nilipata na mpenzi wangu, mahusiano hayakuzaa matunda hivyo hatufanikiwa kufunga ndoa. Nimepambana na watoto kwa sasa wamekuwa wakubwa na wote wapo chuo kikuu.

Pole sana,Mungu akuoe hitaji la moyo wako
 
Mimi ni mwanaume rijali
Umri tunaendana kiasi humo humo
Ni mwajiriwa serikali
Ni mfupi kiasi ila napambana na mazoezi kupunguza ukubwa wa tumbo ili urefu wangu asilia uonekane
Sina mke ila niliwahi kuoa nikaachwa
Watoto naogopa kusema ninao maana walishasema mimi sio baba yao ila nahisi wakisikia nimeoa watanifuata tu .
Ni mpenzi wa pombe hasa bia za kisasa ila sipotezi akil zangu nikinywa .
Nina usafiri wangu corolla nzuri kuliko zote mkoani mbeya .
Nina nyumba mbili za kwangu mkaoni mbeya ila ni msimamizi mkuu wa mali za urithi zipo huko Dasalaam hivyo tutaenjoy .
Sina shida ya ngono ila ni vile walau nipate mtu nikipatwa na shida huku bar watu wajue wanaenda kumwambia bwana wako amedondoka au ameshindwa kurudi hivyo nahitaji mwenza wa karibu tuwe wamoja tumalizie maisha yetu .
Napenda mbwa na paka hivyo ukinikubali jua umekubali kuishi na hao wanyama maana kwangu wamejaa kama zoooo

Nadhani mpaka hapo umenijua mimi ni nani enhee ,siji PM maana wewe ndiye umenitaka mimi sijakutafuta hivyo njoo PM mwenyewe ,sitataka maswali yoyote PM ila toa namba tuzungumze kwa sauti zetu .

Wako mme mtarajiwa .
Ahsante
 
😄😄
 
1. Kwanza usikumbuke kuhusu huyo mwenzako mlieachana naye, huwezi jua MUNGU alikuepusha na nini, yamkini ilikua ndo njia ya kufunguka milango ya mafanikio na baraka ulizo nazo hadi sasa ikiwemo zawadi ya kuwa hai hata kama ulipitia magumu.

2. msamehe mwenzako, na muombee kwa MUNGU wako wa imani yako.
-usiwe na adui wa kudumu

3. una haki ya kupenda na kupendwa vile vile, omba kwa imani yako na muombe MUNGU wa imani yako.

4. wala umri haujapita sema waweza pata hata nje ya vigezo ulivyojiwekea
-usijifunge kwa vigezo vingi, mshirikishe MUNGU kwa kila hatua.

5. usiwasikilize wale wa laana waliokataa kuolewa na kuoa (jitenge nao) maana watakuambukiza laana ya kukosa au kukataa ndoa

6. utakapompata wa kuendana na wewe, usijikite kuchunguza mabaya yake, bali chunguza mazuri yake.

7. jitahidi kutembelea sehemu zenye maadili na imani yako, huko utampata kiurahisi.
-epuka wa mtaani kwako kutokana na mazingira yako, hao watakutumia tu na kukuacha milele.

MUNGU AKUTIE NGUVU
MUNGU AKUFANYIE WEPESI
 
Wana jamii Forums hamjambo, hapa ni mahali pekee ambapo naweza kuongea kwa uwazi na bila kuficha chochote. Kuna muda nakuwa na mawazo nashindwa wapi pa kusemea.

Iko hivi kwa sasa nina miaka 44 sijaolewa na sina mwenza ila nina watoto ambao nilipata na mpenzi wangu, mahusiano hayakuzaa matunda hivyo hatufanikiwa kufunga ndoa. Nimepambana na watoto kwa sasa wamekuwa wakubwa na wote wapo chuo kikuu.

Niseme sio kuwa nakuwa proud na haya maisha ila ilibidi nifunge kibwebwe ili nilee watoto maana mzazi mwenzangu tuliachana toka mtoto wa kwanza ana miaka sita.

Napitia wakati mgumu kwa vile sina mpenzi na kuna muda kama binadamu najisikia kuwa na mwenzangu. Sasa Naomba kwenye Jukwaa hili kama kuna mwanaume ambae na yeye ana watoto na anahitaji mwanamke mtu mzima ambae hawahitaji kuzaa tena karibu. Au mwanaume mgane.

-Ninafanya kazi ila sio mwajiriwa wa serikali.
-Maoni yenu pia ni muhimu lakini usinikatishe tamaa.
-Nina haki ya kupenda tena.
Umepata watoto halafu unasema mahusiano hayakuzaa matunda?
 
1. Kwanza usikumbuke kuhusu huyo mwenzako mlieachana naye, huwezi jua MUNGU alikuepusha na nini, yamkini ilikua ndo njia ya kufunguka milango ya mafanikio na baraka ulizo nazo hadi sasa ikiwemo zawadi ya kuwa hai hata kama ulipitia magumu.

2. msamehe mwenzako, na muombee kwa MUNGU wako wa imani yako.
-usiwe na adui wa kudumu

3. una haki ya kupenda na kupendwa vile vile, omba kwa imani yako na muombe MUNGU wa imani yako.

4. wala umri haujapita sema waweza pata hata nje ya vigezo ulivyojiwekea
-usijifunge kwa vigezo vingi, mshirikishe MUNGU kwa kila hatua.

5. usiwasikilize wale wa laana waliokataa kuolewa na kuoa (jitenge nao) maana watakuambukiza laana ya kukosa au kukataa ndoa

6. utakapompata wa kuendana na wewe, usijikite kuchunguza mabaya yake, bali chunguza mazuri yake.

7. jitahidi kutembelea sehemu zenye maadili na imani yako, huko utampata kiurahisi.
-epuka wa mtaani kwako kutokana na mazingira yako, hao watakutumia tu na kukuacha milele.

MUNGU AKUTIE NGUVU
MUNGU AKUFANYIE WEPESI
Barikiwa sana, Asante kwa maneno mazuri, hii ni sehemu pekee mtu anaweza kuongea bila uoga.
 
Back
Top Bottom