GE2025 Nimetonywa: Mauzi kumfuata wa Kisesa, labda muandika Majina ya vita Kagera amalize mchezo maana dada Kaitwa

GE2025 Nimetonywa: Mauzi kumfuata wa Kisesa, labda muandika Majina ya vita Kagera amalize mchezo maana dada Kaitwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
17,177
Reaction score
41,623
Dada mtu kaitwa kwa Bwana mkubwa muandika Majina ya waenda vita ya Kagera hapo pembeni baada ya kusikia Kaka na Baba wana afiki kabisa Jamaa kutua kwenye usajili Mpya !

Kuna taarifa kwamba atahakikisha anakinukisha japo naye ananuka

Kesho Saa tano Mpaka kumi kwaweza kuwapo Breaking Nyuziiii akiwa na waandishi wa Habari

Note that: si kila Tetesi lazima ipite au ikamilishwe, bwana mkubwa Anaweza akamshawishi Jamaa akabaki maana Muandika Majina ya Kwenda vita ya kagera ni rafiki sana na baba Mauzi
Britanicca
 
Hivi mtu unaogopa nini kwenda straight na kutaja majina halafu ukizingatia ni tetesi na unatumia fake ID
Kweli CCM watatawala milele. Kama tuna fake ID na still tunaogopa. Mweh
 
Kwa mtazomo wangu:

Huyu ni January bila shaka ndio anaongelewa kutimka CCM.

Dada=Dada wa January

Kaka=January

Baba= Mzee Ma-rope.

Muandika Majina=JK

Vita ya Kagera= Uchaguzi Mkuu

Niko tayari kurekebishwa/kusahihishwa maana hii ni code na mleta mada ndio anajua nani ni nani ila naamini niko sahihi kwa asilimia 99 kama sio 100.
 
Kikwete ni Rafiki wa Baba January hivyo anaweza fanikisha kushauri January asihame.By the way alihama Lowassa hata na akarudi.Hata January anaweza kuhama na akipata ubunge 2030 anarudi CCM ili agombee urais.🤣
Sio hao ata wasira alivama kwenda NCCR MAGEUZI,baadaye akarudi CCM sasa hivi ni makamu mwenyekiti Bara wa CCM😁😁 siasa ni sayansi
 
Watajuana wenyewe huko
20250612_190153.jpg
 
Alihama Lowassa hata CCM haijatingishika, ndio iwe hao madogo 😂

Slaa alitoka chadema na hakuna lililotokea.

Ukiwepo mahali unajiona una umuhimu sana na ukiondoka taasisi itaangamia, ila ukiondoka kweli unashangaa mambo yanaenda kama ilivyokuwa 😂 ni sawa na mbowe tuu anavyoshangaa chadema ya sasa
 
CCM = ACT= Chauma wanakulana mtu dada na shemeji yake hakuna jipya hapo

Wote bikra na marinda hawana
 
Back
Top Bottom