GE2025 Nimetonywa: Mauzi kumfuata wa Kisesa, labda muandika Majina ya vita Kagera amalize mchezo maana dada Kaitwa

GE2025 Nimetonywa: Mauzi kumfuata wa Kisesa, labda muandika Majina ya vita Kagera amalize mchezo maana dada Kaitwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kikwete ni Rafiki wa Baba January hivyo anaweza fanikisha kushauri January asihame.By the way alihama Lowassa hata na akarudi.Hata January anaweza kuhama na akipata ubunge 2030 anarudi CCM ili agombee urais.🤣
tofautisha umri wa makamba na lowasa
 
Hivi mtu unaogopa nini kwenda straight na kutaja majina halafu ukizingatia ni tetesi na unatumia fake ID
Kweli CCM watatawala milele.Kama tuna fake ID na still tunaogopa.Mweh
Dada Melo hatunaye hapa, tunapambana na hali zetu

Wakitosheka na mambo yao tunapigwa ban wote humu
 
Dada yake Janu...
Kaitwa kwa Mzoga (mwandika majina ya vita ya kagera)
Ila, hii ni baada ya kusikia Janu na baba yake (wazuri hawafi) wakiridhiana kabisa na kupeana baraka asepe zake ACT.

Note: Yusufuuu bila mwanae kuwa serikalini atadanja siku si zake.

ukitaka Yusufuuu awe na furaha mpe mwanae madaraka. Ewaaaaaaa Baaaaasi
 
Hivi mtu unaogopa nini kwenda straight na kutaja majina halafu ukizingatia ni tetesi na unatumia fake ID
Kweli CCM watatawala milele.Kama tuna fake ID na still tunaogopa.Mweh

Vicky vode zipo wazi kabisa...

Kuna mzee wa msoga, makamba senior na junior na dada mkubwa ni ama mama wa Kizimkazi au mwamvita (inategemea na tafsiri ya kiswahili cha britanicca)
 
Dada mtu kaitwa kwa Bwana mkubwa muandika Majina ya waenda vita ya kagera hapo pembeni baada ya kusikia Kaka na Baba wana afiki kabisa Jamaa kutua kwenye usajili Mpya !

Kuna taarifa kwamba atahakikisha anakinukisha japo naye ananuka

Kesho Saa tano Mpaka kumi kwaweza kuwapo Breaking Nyuziiii akiwa na waandishi wa Habari

Note that: si kila Tetesi lazima ipite au ikamilishwe, bwana mkubwa Anaweza akamshawishi Jamaa akabaki maana Muandika Majina ya Kwenda vita ya kagera ni rafiki sana na baba Mauzi
Britanicca
NI BORA KULA NGURUWE KULIKO KUCHAGUA MUISLAMU KUWA KIONGOZI
 
Kuna taarifa kwamba atahakikisha anakinukisha japo naye ananuka
Halaka halaka kanong'ona wanataka tuzubae...tusijue lao moja na mleta mada.

Script ni Ile Ile, Mvi kufuatwa na Fredy kumumonitor!. Hatujashtuka tu!
 
Vicky vode zipo wazi kabisa...

Kuna mzee wa msoga, makamba senior na junior na dada mkubwa ni ama mama wa Kizimkazi au mwamvita (inategemea na tafsiri ya kiswahili cha britanicca)
Mwanzoni hata mimi niliwaza ni Mama wa Kizimkazi, ila nadhani sio yeye bali ni Dada wa January kwasababu ndio anaweza kuitwa kwenda kwa Mzee wa Msoga lakini sio Mama wa Kizimkazi kwasababu protokali inakataa Mama Kuitwa bali yeye ndio anaweza kuita mtu.
 
Hivi mtu unaogopa nini kwenda straight na kutaja majina halafu ukizingatia ni tetesi na unatumia fake ID
Kweli CCM watatawala milele.Kama tuna fake ID na still tunaogopa.Mweh
Hiyo inaitwa ngumu kumeza, sio kama mashairi ya westlife kwenye Soledad 🧠👣
 
Mwanzoni hata mimi niliwaza ni Mama wa Kizimkazi, ila nadhani sio yeye bali ni Dada wa January kwasababu ndio anaweza kuitwa kwenda kwa Mzee wa Msoga lakini sio Mama wa Kizimkazi kwasababu protokalii inakataa Mama Kuitwa bali yeye ndio anaweza kuita mtu.

Mzee baba trust me JK anaweza muita mtu yeyote including mama wa kizimkazi na akatii, Urais ni title tu lakini nyuma ya pazia heshima ya mtu na mtu ipo pale pale...
 
Alihama lowassa hata ccm haijatingishika, ndo iwe hao madogo 😂

Slaa alitoka chadema na hakuna lililotokea.

Ukiwepo mahali unajiona una umuhimu sana na ukiondoka taasisi itaangamia, ila ukiondoka kweli unashangaa mambo yanaenda kama ilivyokuwa 😂 ni sawa na mbowe tuu anavyoshangaa chadema ya sasa
vipi maalim sefu pale cuf
 
Back
Top Bottom