GE2025 Nimetonywa: Mauzi kumfuata wa Kisesa, labda muandika Majina ya vita Kagera amalize mchezo maana dada Kaitwa

GE2025 Nimetonywa: Mauzi kumfuata wa Kisesa, labda muandika Majina ya vita Kagera amalize mchezo maana dada Kaitwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mkuu umekuwa mwana mikakati ya Ccm pamoja na KingMaker aka The Ring leader OG na hauaminiki tena kwa mujibu wa vijiwe vyote vya Lumumba,Mtumba na Magogoni sijui utapost nini uaminike tena sijui kabisa ila leo Swalaa ya jioni nimeswali kwa Mwana Mtoro hauna jipya unatumika kuwapiga Spinning wana Tanganyika hata Wazee wa Pwani hawapendezwi nazo bora ukae kimya tu Bro.
 
Note: Yusufuuu bila mwanae kuwa serikalini atadanja siku si zake.

ukitaka Yusufuuu awe na furaha mpe mwanae madaraka. Ewaaaaaaa Baaaaasi
😄 🤣 😂
 
Kwa mtazomo wangu:

Huyu ni January bila shaka ndio anaongelewa kutimka CCM.

Dada=Dada wa January

Kaka=January

Baba= Mzee Ma-rope.

Muandika Majina=JK

Vita ya Kagera= Uchaguzi Mkuu

Niko tayari kurekebishwa/kusahihishwa maana hii ni code na mleta mada ndio anajua nani ni nani ila naamini niko sahihi kwa asilimia 99 kama sio 100.
January future yake iko CCM hawezi kutoka na January ni kijana wa JK labda kama master mind him self kampa ruhusa aende upinzani kuchangamsha uchaguzi January akienda upinzani ana Baraka zote za JK alafu atarudi CCM 2030 kua waziri mkuu Riz akiwa Rais
 
cuf ---> act namaanisha
Zanzibar hakuna mwamba mwngn zaidi ya seif, n bc tuu Zanzibar wana hiyo sheria kuwe na makamu wa nje ya chama tawala ndicho kinachowabeba act.

Ila seif haikuiyumbisha cuf alivyoondoka mana cuf ni wafu. N vile tuu system ya Zanzibar iliwabeba act pamoja na seif.
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Hivi mtu unaogopa nini kwenda straight na kutaja majina halafu ukizingatia ni tetesi na unatumia fake ID
Kweli CCM watatawala milele.Kama tuna fake ID na still tunaogopa.Mweh
Uko sahihi, haina haja ya kuandika mafumbo
 
Kufanya siasa ndani ya chama chenye usajilii ni tendo la halali kikatiba, ni haki ya kila mtanzania, sioni sababu kwa mleta uzi kujificha ficha.
Waliohama ccm ni wengi mno na haijawahi kuwa jinai.
Kama alihama mzee Wasira na kurudi na leo hii ameaminiwa kuongoza CCM kwenye ngazi ya juu kabisa itashindikana kwa January Makamba!!
Makamba songa mbele uhuru ni wako
 
Alihama lowassa hata ccm haijatingishika, ndo iwe hao madogo 😂

Slaa alitoka chadema na hakuna lililotokea.

Ukiwepo mahali unajiona una umuhimu sana na ukiondoka taasisi itaangamia, ila ukiondoka kweli unashangaa mambo yanaenda kama ilivyokuwa 😂 ni sawa na mbowe tuu anavyoshangaa chadema ya sasa
Kuondoka kwa Lowasa Ccm haikutingishika?

Kura million 6 plus mchezo?
 
Hivi mtu unaogopa nini kwenda straight na kutaja majina halafu ukizingatia ni tetesi na unatumia fake ID
Kweli CCM watatawala milele.Kama tuna fake ID na still tunaogopa.Mweh
Yaani anakutongoza hapo na ID fake,huyu ni Ponjoro wa Kinondoni
 
Hivi mtu unaogopa nini kwenda straight na kutaja majina halafu ukizingatia ni tetesi na unatumia fake ID
Kweli CCM watatawala milele.Kama tuna fake ID na still tunaogopa.Mweh
Hakuna fake ID humu,wanajua hadi madeni yenu ya songesha,kamilisha,nipige tafu
 
Kwa mtazomo wangu:

Huyu ni January bila shaka ndio anaongelewa kutimka CCM.

Dada=Dada wa January

Kaka=January

Baba= Mzee Ma-rope.

Muandika Majina=JK

Vita ya Kagera= Uchaguzi Mkuu

Niko tayari kurekebishwa/kusahihishwa maana hii ni code na mleta mada ndio anajua nani ni nani ila naamini niko sahihi kwa asilimia 99 kama sio 100.
Muandika majina vita kagera ni jakaya, ndiyo ilikua kazi yake
 
Dada mtu kaitwa kwa Bwana mkubwa muandika Majina ya waenda vita ya kagera hapo pembeni baada ya kusikia Kaka na Baba wana afiki kabisa Jamaa kutua kwenye usajili Mpya !

Kuna taarifa kwamba atahakikisha anakinukisha japo naye ananuka

Kesho Saa tano Mpaka kumi kwaweza kuwapo Breaking Nyuziiii akiwa na waandishi wa Habari

Note that: si kila Tetesi lazima ipite au ikamilishwe, bwana mkubwa Anaweza akamshawishi Jamaa akabaki maana Muandika Majina ya Kwenda vita ya kagera ni rafiki sana na baba Mauzi
Britanicca
Uongo mauzi kaandaliwa cheo ccm
 
Back
Top Bottom