Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
nimeomba namba za viatu unaleta mpaka namba za mahipsi na mgongo?. khaaa kibarua chenyewe part time
Alaa!Mi nlidhani unapiga kumbe unabipu!Orait 40 tu!
nimeomba namba za viatu unaleta mpaka namba za mahipsi na mgongo?. khaaa kibarua chenyewe part time
DahhMie mwenyewe nimechelewa kweli my dear.........................
Hivi DA hajapitia huku?
halaf unacheza basket nini?, khaa size 40?Alaa!Mi nlidhani unapiga kumbe unabipu!Orait 40 tu!
halaf unacheza basket nini?, khaa size 40?
Yaani asafali umekuja. Mi naangalia tu! We waache wasemeeeeeee. Hivi hatuafukuzwa kazi kweli?Kwanini unasoma hii thread bana na wewe hebu acha bana
Jamani...hiyo shopping inaambatana na kuchambuliwa kama karanga?
Wakiume au wa kike?
hahaha....Lizzy uskate kamba sasa!!
Ahaaaaaa wamefunga library ya chuo!!gadaffi wenyewe nazani hela ya cafe imeisha. huku zali limeclick yeye haonekani.
teh teh i kali
usimtishe mwezio bwana mwache ampate ..subiri mwenyewe anakuja ATAMJIBU..mi cha kumsaidia nimemwambia abadirishe avatar io ..
ahh mintakuwa maid pale nyuma kushika shela na kufuta vijasho vtakavyotoka kwenye ushung mwekundu wa dada DA!!!!!!
Nilijua hupo Kule mjengoni nayule MP hivyo utakuwa busy kwakipindi chote cha kuwasilisha mswada!Kumbe leo nimepitwa na mengi kweli.........................................
Nani kakwambia!Nilijua hupo Kule mjengoni nayule MP hivyo utakuwa busy kwakipindi chote cha kuwasilisha mswada!
Mimi ndo hmaster. sasa DA tuzungumze!
hmaster kweli umeamua! gud luck!! DA analipa! lol!