donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,257
- 22,131
Unaweza tafuta ukakosa au bila kutafuta ukapata sana...!!!
Jilipue tu!:hug:Habari zenu wanajf! Nafikiri kupenda si dhambi na kila mtu ana haki ya kupenda au kupendwa. Mimi nimetokea kumpenda sana binti huyu kwa namna anavyochangia mada hadi sasa napenda kukutana naye, kuzungumza naye, kukubaliana naye, kupanga naye na hatimaye kujivinjari naye. Namuomba kama atakupita hapa anipe namba yake ya simu ili tuwasiliane, ila asinipe namba ya gari kwa vile nina nia naye nzuri tu. Hata nyie akina rose80, afrodenz nk mwaweza kumshauri mwenzenu huyu ili liwezekane. Kama ana mkataba na mtu mwingine basi, Nawasilisha.:hug:
Jilipue tu!
Nami nampenda yu makini na mfuatiliaji wa mambo!
Kwani muda wote huo hana Mume/bwana?
yaani jamaa ana post 75 tu kaondoka na kifaa wakati malegend tuna post 2000 na PM 800 bado tunasota. tunaripoti abyuzi bana
Haya DA kazi kwako changamkia tender hiyo hahahahahaha LOL!
YouTube - Michael Bolton - When a Man Love a Woman
mkuu, huyo hapo red ni member wa JF?mwenzio katangaza nia live wewe ulisha wahi kufanya hivyo, au ulikuwabado upo-upo kwanza, usijali lakini mbona watoto bado kibao humu tena wakali tu, umemcheki Lizzy alivyotulia au wewe hupendi black is beauty? angalia figa yake, pozi lake, au wewe unapenda XL
nadhani kamefulia, nauli haikutosha , kamekwama mto wa mbu. lizzy atasibitisha hii
mkuu, huyo hapo red ni member wa JF?
mwenzio katangaza nia live wewe ulisha wahi kufanya hivyo, au ulikuwabado upo-upo kwanza, usijali lakini mbona watoto bado kibao humu tena wakali tu, umemcheki Lizzy alivyotulia au wewe hupendi black is beauty? angalia figa yake, pozi lake, au wewe unapenda XL
Jamani sio kusibitisha ni kuthibitisha tuseme mara ngapi?
Afadhali unisaidie sijui kiswahili nilichomfundisha shule kimeenda wapi maana ananiabisha sana huyu dawa ya malaria aka klorokwini
:hug:Habari zenu wanajf! Nafikiri kupenda si dhambi na kila mtu ana haki ya kupenda au kupendwa. Mimi nimetokea kumpenda sana binti huyu kwa namna anavyochangia mada hadi sasa napenda kukutana naye, kuzungumza naye, kukubaliana naye, kupanga naye na hatimaye kujivinjari naye. Namuomba kama atakupita hapa anipe namba yake ya simu ili tuwasiliane, ila asinipe namba ya gari kwa vile nina nia naye nzuri tu. Hata nyie akina rose80, afrodenz nk mwaweza kumshauri mwenzenu huyu ili liwezekane. Kama ana mkataba na mtu mwingine basi, Nawasilisha.:hug:
Kaka uwe tayari kumpokea Dena Amsi hata kama ni chongo, usije kutuletea hadithi kuwa ana sura mbaya, mtafute kwanza umwone sura kisha upime kauli zake. Jinsi anavyochangia humu isiwe kigezo pekee, Angalia JK anatabasamu nzuri kila siku ila kamwacha Lowasa akipata ajali ya kisiasa jamaa anatabasamu mpaka EL amekwisha kisiasa.