Nimetokea kumpenda sana Dena Amsi!

Hahaha! mimi hili la vocha nina aleji nalo miaka ya nyuma kuna binti nilikuwa namtumia vocha kila siku na hajawahi nipigia nilikuwa napiga mimi tu yeye ni sms na kubeep.

Ndo uadhibu wengine?Mi sina tabia ya kubeep!Kwahiyo toa vocha hizo nikupigie mpaka ushangae!AHHH KUMBE NI WEWE DEAREST!WEKA HII KWENYE FAILI KWA MATUMIZI YA BAADAE!
 
Ina maana my wife kweli huyu kesha......... kweli. Mnatupunguzia utamu bana. Ndo kwanza tumewowana juzijuzi tu! Mijitu mingine. Hata mkisema sioni kinyaa sasa! DA waache waseme mm nimeoza kwako![/QUOTE





Punguza hasira basi,kwani hakuna lisilowezekana kwa mwanadamu................
 
au una mind mwenzio kupata jiko? acha hizo Uncle Rukus.
Hapana mkuu.... na mtakia kila la kheri! ana uhakika na uhuyo anayemtaka kama kweli ni mwanamke? maana siku hizi hapa JF watu wanaingia na ID za kike na kucomment kikike kike!
 
hamna msamiati jibaba, tupo na gadaffi hapa, kaomba penzi halaf mdada DA kajiachia lakini gaddafi kahamia bengazi, haonekani.






Baba unataka msamiati? Sina ila ngoja nikupe msemo,wanasema kujamba ajambe mbwa,kutawadha utawadhe wewe,wapi na wapi?Ndio mambo ya Gadafi na watu wa magharibi...
 
Baba unataka msamiati? Sina ila ngoja nikupe msemo,wanasema kujamba ajambe mbwa,kutawadha utawadhe wewe,wapi na wapi?Ndio mambo ya Gadafi na watu wa magharibi...

Huyo Gadafi kazimia kwa furaha ya kukubaliwa kiulaini nyie acheni uchokozi bana mtoto wa watu kajikalia kimya anajienjoy........
 
yaani jamaa ana post 75 tu kaondoka na kifaa wakati malegend tuna post 2000 na PM 800 bado tunasota. tunaripoti abyuzi bana

Mimi nimechelewa kidogo na hadithi ya muazima jamvi imetimia, klorokwini hunahaja ya kuripoti abyuzi.
 
We huna hasira kwani. Mtu akishika hotel ya mtoto huchelewi kushika panga. Sasa we mtu anasema keshaingia chumbani kwa baba utafayaje. Utacheka tu!

Ha ha ha ha acha nickeke mie raha mume wangu mpenzi.............................
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom