Nimetokea kumpenda sana Dena Amsi!

Nimetokea kumpenda sana Dena Amsi!

Rose1980 umeona hii miandiko??ya xana nikichina au??ni kifacebook mwaka huu kazi tunayo!!!Mpwa The Finest Nifanyie tafsida ya maneno haya xana umri nao tabu mpwaz!!!!!

mwenzangu mhh itanbd tu nimjibu xoxos!!!!!!
 
itapendeza kama ombi kama hili likatoka kwa msichana mmojawapo, au mila inabana vidole visiseme ukweli wa moyoni.
 
nafikiri huyu Dena ni mke wa mtu au? ila kumpenda mtu haijalishi kama ni mke wa mtu au vipi? haya mamaaaa zali hilo
 
hahaha ha LIZZY, ETI wajifiche rafikize ili wamwone jinsi anavyomtokea binti.......hilo nalo neno , lol

Sindo zao!Na ukimkubali anawaita wakae dirishani kupiga chabo!
 
Kuwa makini waweza kukuta dena ni DUME!!!humu watu wengine hawajitambulishi kisawasawa kwa jinsia zao
 
Hebu tuelewane kidogo, umeipenda keyboard, au avatar? maana usikute unachart na dume mwenzako, hii ndio JF ya zaidi uijuavyo.
 
Hebu tuelewane kidogo, umeipenda keyboard, au avatar? maana usikute unachart na dume mwenzako, hii ndio JF ya zaidi uijuavyo.

we saigon vip bwwana?
ebu tuache siye
 
Hadi sasa DA hajaonekana kujibu hoja. Upo wapi mama? Tunataka kuona msimamo wako, jamaa anachinjwa au anachinjia?
 
mbona DENA kimya hapa! au a atanjib in private. offcoz sio lazma hapa livelive.ila basi mtupe feedbak jamaa.
 
mbona DENA kimya hapa! au a atanjib in private. offcoz sio lazma hapa livelive.ila basi mtupe feedbak jamaa.

Hayo ni mambo ya faragha mkuu. Wanamalizana huko faraghani ndo mana Dena haonekani. Unataka wajianike hapa jamvini?
 
Hayo ni mambo ya faragha mkuu. Wanamalizana huko faraghani ndo mana Dena haonekani. Unataka wajianike hapa jamvini?

Lakini jamaa hajataka faragha, kataka live live, anamuenzi Nzee wa kwetu Njomba Nkapa.
 
Hapa DA atakua kameza vidonge vngi sana na kaji2ndika kwa hasira naamini mpaka itafka page100 hajatokea hapa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom