Nimetokea kumpenda sana Dena Amsi!

Nimetokea kumpenda sana Dena Amsi!

Naona JF inaelekea kushoto badala ya kulia... Haya mambo uliyo andika kwenye hii thread yako hayakustahili kufunguliwa thread kabisa, ulitakiwa kumtumia PM na ndio maana ikawepo kwaajili ya mambo kama haya uliyoyaweka hapa....

Na sema huu ni upuuuuuuuuuuuuuuuuuuzi live haiwezekani watu mna shadadia upuuzi kama huu na kuchagia hadi page 9, nimeamini maneno ya Invisible kwamba siku hizi wanapokea waouuzi wengi kwenye mtandao huu!
Mkuu jamii ni kila ki2. Do you want us to read from you! Mkuu unapata kila kitu hapa! Ukichoka kule kwa akina Lowasa na Makamba na Zitto unahamia huku unapata kitu ingine na unapunguza makunyazi usoni! Kama hutaki wee enedelea kubaki kule kule kwenye kile kibada unachotaka! Choice is yours!
 
  • Thanks
Reactions: Iza
Mtani,Mtani,Mtani una maana gani hapo, ina maana umeshapita????!!!!!!! Kweli mngoni ni mngoni tu.....hahahahahah...

Ina maana my wife kweli huyu kesha......... kweli. Mnatupunguzia utamu bana. Ndo kwanza tumewowana juzijuzi tu! Mijitu mingine. Hata mkisema sioni kinyaa sasa! DA waache waseme mm nimeoza kwako!
 
mimi nimetokea kupenda uchangiaji wa gaga,mimi nimeona yeye ni muwazi zaidi(na labda mkweli!) na kibinadamu wawazi ni bora zaidi siku zote,DA kama vile kuna kitu anaficha(si muwazi viiile),kuna huyu maria roza mi namwona kama mh(waru!!)
 
Ina maana my wife kweli huyu kesha......... kweli. Mnatupunguzia utamu bana. Ndo kwanza tumewowana juzijuzi tu! Mijitu mingine. Hata mkisema sioni kinyaa sasa! DA waache waseme mm nimeoza kwako!

Wivu unawasumbua hawawezi kitu ha ha ha ha
 
Naona JF inaelekea kushoto badala ya kulia... Haya mambo uliyo andika kwenye hii thread yako hayakustahili kufunguliwa thread kabisa, ulitakiwa kumtumia PM na ndio maana ikawepo kwaajili ya mambo kama haya uliyoyaweka hapa....

Na sema huu ni upuuuuuuuuuuuuuuuuuuzi live haiwezekani watu mna shadadia upuuzi kama huu na kuchagia hadi page 9, nimeamini maneno ya Invisible kwamba siku hizi wanapokea waouuzi wengi kwenye mtandao huu!

Na wewe ni mmoja wa hao wapuuuuuuuuuuuuuuuuzi? if not mbona umechangia si ungeipotezea tu, au una mind mwenzio kupata jiko? acha hizo Uncle Rukus.
 
:hug:Habari zenu wanajf! Nafikiri kupenda si dhambi na kila mtu ana haki ya kupenda au kupendwa. Mimi nimetokea kumpenda sana binti huyu kwa namna anavyochangia mada hadi sasa napenda kukutana naye, kuzungumza naye, kukubaliana naye, kupanga naye na hatimaye kujivinjari naye. Namuomba kama atakupita hapa anipe namba yake ya simu ili tuwasiliane, ila asinipe namba ya gari kwa vile nina nia naye nzuri tu. Hata nyie akina rose80, afrodenz nk mwaweza kumshauri mwenzenu huyu ili liwezekane. Kama ana mkataba na mtu mwingine basi, Nawasilisha.:hug:

Unasema una nia nzuri nae lakini pia unasema unataka KIJIVINJARI nae ??? namba yake ya simu ni 112 huyo afande atakaepokea mwambie akuitie.
 
Eti ehhh?Nilikua....nimeachwa leo!Vipi kwani?
acha namimi nimchape kibuti jamaa. halaf nikuanzishie sredi wewe. Lakini mpango wa kuombana hela ya vocha hauko kwenye katiba.
 
acha namimi nimchape kibuti jamaa. halaf nikuanzishie sredi wewe. Lakini mpango wa kuombana hela ya vocha hauko kwenye katiba.
Mmh jamaa gani huyo??Alafu embu acha kunichekesha!Nikuombe vocha kwani we hujui ni jukumu lako mpaka niombe?
 
Mmh jamaa gani huyo??Alafu embu acha kunichekesha!Nikuombe vocha kwani we hujui ni jukumu lako mpaka niombe?
Hahaha! mimi hili la vocha nina aleji nalo miaka ya nyuma kuna binti nilikuwa namtumia vocha kila siku na hajawahi nipigia nilikuwa napiga mimi tu yeye ni sms na kubeep.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom