klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
hehehe nitukane huku PM yaani hii kitu inaniturn on kweli.Ningekua sijafunzwa adabu leo ningekutukana haki ya nani!
hehehe nitukane huku PM yaani hii kitu inaniturn on kweli.Ningekua sijafunzwa adabu leo ningekutukana haki ya nani!
Mwambie mimi miss yeye
Niko siriaz ujue!Umenikasirisha sana bwashe!hehehe nitukane huku PM yaani hii kitu inaniturn on kweli.
hivi unafkiri mimi natania?, hebu njoo huku kabla stimu hazijapoteaNiko siriaz ujue!Umenikasirisha sana bwashe!
hivi unafkiri mimi natania?, hebu njoo huku kabla stimu hazijapotea
weka namba zako za viatu kesho nikupeleke shopping, inaonekana CPU ameshindwa kazi.Tatizo siwezi kutukana...alafu kumbe unataka ili uendeleze stimu?Sitaki tena...hata hamu imeisha!
Viatu 40..Jeans 44..top Xtra Large!Saa ngapi niwe tayari?weka namba zako za viatu kesho nikupeleke shopping, inaonekana CPU ameshindwa kazi.
invizibo anakumind nini? nilirusha sred yangu kuhusu wewe naona mpaka sasa haijaenda hewani.Duuuhh
nimechelewa hivi ..
hey sis hebu nidokeze kidogo ..
Hmaster,
Dena Amsi anao mkataba na Obuntu wa miaka mitatu tayari till 2013!
Pole sana kwa hilo ingawa wanasema Sharing Is Caring, lakini kwangu itakuwa ngumu...
Have a nice working day!
khaaaa! tutauwana jamani!Viatu 40..Jeans 44..top Xtra Large!Saa ngapi niwe tayari?
Annexture P1
khaaaa! tutauwana jamani!
Duuuhh
nimechelewa hivi ..
hey sis hebu nidokeze kidogo ..
Ahhhhhhhhhh hivi kumekucha! DA kuna huyu jamaa anataka ngumi za uso huku. Hivi mlinzi aliamka saa ngapi tena! Mimi wakati nalala mlikuwa mnamwamsha au ndo huyu kaja kubandika bandiko humu nini?
nimeomba namba za viatu unaleta mpaka namba za mahipsi na mgongo?. khaaa kibarua chenyewe part timeKwanini tena jamani?
Dahhhinvizibo anakumind nini? nilirusha sred yangu kuhusu wewe naona mpaka sasa haijaenda hewani.