Nimetokea kumpenda sana Dena Amsi!

Nimetokea kumpenda sana Dena Amsi!

800 tu?Wengine zilishajaa tukafuta na sasa hivi zinaelekea kujaa tena!Alafu post 2000 hazidaki mdada..ujanja ndo unahitajika!
hehehe Lizzy bana! ujanja kwani tunatega mbwa mwitu?
 
Mbwa haitaji ujanja hata siku moja...wanawake ni kama sungura!We zubaa ufe mwenyewe!
aargh! mwalim wako wa mapenzi ni bom kabisa. kama kuna kiumbe hakihitaji ujanja basi ni mwanamke. bisha!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom