Nimepigwa na butwaa

Nimepigwa na butwaa

Kuna babu zako na bibi zako humu. Yaani huyo mama yako uliyeshangaa yeye kuwa hapa kuna waliomzidi umri na wapo hapa
Duuh mkuu mbona huku hata comment huwezi amini kqma kuna mtu ni above 45 hapa mkuu
 
Kuwa na adabu
Wewe umepigwa na butwaa hujui huyo mama anatumia ID gani humu.
Nikakusaidia ku brainstorm kupunguza maswali nikasema anaweza kuwa ndiye "Mshangazi wetu" unasema niwe na adabu.

Ulimuuliza ID anayotumia ni ipi?

Na alikujibu nini?

Usikute ndiye Bichwa Komwe kama humtaki Mshangazi.
 
Wasalam wakuu.

Katika hali ya kushtukiza na kuchanganya leo hii nimekuta application ya jf kwa simu ya mama..

I don't know ni nani kamwekea hii application au imekuaje kuaje.

Nimeshindwa hata kuifungua ila nime unstaill aiseee....

Yaani imekuaje kuaje wakuu..
Humu ndani humu umakini unatakiwa wa kutosha aiseee

Bado najiuliza kama anatumia jf au laah..
Nimepigwa na butwaa...

Wakuu mjiheshimu kuna watu mna assume ni mtu flani.. nimesema sijajua kama kajiunga au laa
Ndio mjue tumo, mwenzio alimtukana baba yake, akagundua aliyemchamba Jana JF ni baba yake, mwisho kilichokufanya ushike simu ya mama yako ni nini huo nao ni utovu wa nidhamu
 
Ndio mjue tumo, mwenzio alimtukana baba yake, akagundua aliyemchamba Jana JF ni baba yake, mwisho kilichokufanya ushike simu ya mama yako ni nini huo nao ni utovu wa nidhamu
Mkuu ni mama yangu mzazi na kwann nisishike simu yake
 
Back
Top Bottom