Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,402
- 54,846
- Thread starter
- #421
Wakina grahams hao wazee hovyo kabisaFIkisha hiyo 45 uone kama comments zako zitabadilika. Hata muhuni huzeeka
Wakina grahams hao wazee hovyo kabisaFIkisha hiyo 45 uone kama comments zako zitabadilika. Hata muhuni huzeeka
Yaaanihalafu ukute GENTAMYCINE ndio username anayotumia yaani genta ndio mama yako.
We jamaa jiheshimuUkute ndio lamomy huyo au kidotii ndio mamaako na mwingine laki si pesa.
Mama angu ni Great thinker mkuu..Kwel wewe ni #Poor Brain kwanza mama ako huenda niwale great thinkers. au ni #cocastic
ndo maana akawa humuMama angu ni Great thinker mkuu..
Asante kwa kutambua.hilo
We jamaa usiwe mnafiki tu 😂😂😂😂ndo maana akawa humu
Siwezi kushangaa maana kila nyumba ina malezi yakeMkuu ni mama yangu mzazi na kwann nisishike simu yake
Ndio mkuu ila yeye ndio.ngumu na ni ajabu kama akishika simu yangySiwezi kushangaa maana kila nyumba ina malezi yake
Ni mtandao wa mafichoWasalam wakuu.
Katika hali ya kushtukiza na kuchanganya leo hii nimekuta application ya jf kwa simu ya mama..
I don't know ni nani kamwekea hii application au imekuaje kuaje.
Nimeshindwa hata kuifungua ila nime unstaill aiseee....
Yaani imekuaje kuaje wakuu..
Humu ndani humu umakini unatakiwa wa kutosha aiseee
Bado najiuliza kama anatumia jf au laah..
Nimepigwa na butwaa...
Wakuu mjiheshimu kuna watu mna assume ni mtu flani.. nimesema sijajua kama kajiunga au laa
Kwani wewe ulipojiunga ulimfahamisha? Jamii Forum inazingatia ufaragha wa mtu hivyo mama yako pia anahitaji platform ya faragha. Tena ukute huwa mnajibizana ujinga humu anakuchora tuWasalam wakuu.
Katika hali ya kushtukiza na kuchanganya leo hii nimekuta application ya jf kwa simu ya mama..
I don't know ni nani kamwekea hii application au imekuaje kuaje.
Nimeshindwa hata kuifungua ila nime unstaill aiseee....
Yaani imekuaje kuaje wakuu..
Humu ndani humu umakini unatakiwa wa kutosha aiseee
Bado najiuliza kama anatumia jf au laah..
Nimepigwa na butwaa...
Wakuu mjiheshimu kuna watu mna assume ni mtu flani.. nimesema sijajua kama kajiunga au laa
Au kashaenda kumuimbisha pm maza ake si anapenda mishangazi,, ipo siku jf itazua balaa humu ndani, watabebishana m/flirting mtu na baba au mama, ama dada na kaka, mpk wakajuane tayari mmoja ameshafall kwa mwenzie,.......aibu iliyojePengine mama ako ndio mchepuko wangu humu, jf bana
Wenye baadhi ya watu wa hovyoNi mtandao wa maficho
Ety faragha... Hili neno limekaa kitapeli tapeli sana aiseeeKwani wewe ulipojiunga ulimfahamisha? Jamii Forum inazingatia ufaragha wa mtu hivyo mama yako pia anahitaji platform ya faragha. Tena ukute huwa mnajibizana ujinga humu anakuchora tu
😂😂😂😂😂😂 Kwa kweliNilijiuliza sana imekuwaje app iji uninstall yenyewe kumbe ni wewe mpuuzi,Sipendi mchezo na simu yangu alaaaaa!
Nipo hapa Oliver Tambo International Airport mwenyeji wangu anakaribia....kumbe huku ndio unatumia jina la ajabu kiasi hiki my son?why?😂😂😂😂😂😂 Kwa kweli
Wewe ndo mama angu kumbe...
Mama vipi ushafika south...
Mama tabadilisha sio mda...Nipo hapa Oliver Tambo International Airport mwenyeji wangu anakaribia....kumbe huku ndio unatumia jina la ajabu kiasi hiki my son?why?
Kabisa MkuuKwahyo kama ungekuwa hujaandika ingekula kwako mazima
We mzee hovyo sana nakuona na nakufatilia ww na huyo kijana yaan mmeona kwa uzi ndo wa kuchombezana ..Kabisa Mkuu
Ndiyo maana juzi nilitaka kumwomba Binti Sayunii awe ananisaidia kunitunzia hizo nywila 😜