Nimepigwa na butwaa

Nimepigwa na butwaa

Duh! Hii mbona kali unaweza ukawa unamjibu kishujaa mother huku bila kujua. Atakuwa Madame B bila shaka.
 
Unaanza kukuza mambo..
We jamaa jau sana nakuona tuu unachowaza
Mawazo yako yapo tofauti sana mkuu, sishangai ndo maana unamshangaa mama kuwa hapa.

Hiyo sentensi yangu ina maana nzuri tu kwa jinsi mimi ninavyoichukulia JF. Mama ni miongoni mwa wazee wetu wenye akili kubwa.

Hivyo labda ulikuwa unamchukulia mama kawaida tu, kakuonesha kuwa yeye ni zaidi ya unavyomchukulia.

Labda mimi sifahamu mkuu, JF kipi kibaya kinachotendeka mpaka uwe na hofu mama yetu kushiriki?
 
Wasalam wakuu.

Katika hali ya kushtukiza na kuchanganya leo hii nimekuta application ya jf kwa simu ya mama..

I don't know ni nani kamwekea hii application au imekuaje kuaje.

Nimeshindwa hata kuifungua ila nime unstaill aiseee....

Yaani imekuaje kuaje wakuu..
Humu ndani humu umakini unatakiwa wa kutosha aiseee

Bado najiuliza kama anatumia jf au laah..
Nimepigwa na butwaa...

Wakuu mjiheshimu kuna watu mna assume ni mtu flani.. nimesema sijajua kama kajiunga au laa
Kwa hyo umeshamrudishia simu yake au? Kuna kitu nataka nimuambie
 
Mkuu hapa nataka niongee na mdogo angu nijue je ni yeye kaweka au ni nani..

Alafu nifatilie je huwa ana log in au anaangalia habari mbali mbali
Bora ukaushe tu,usije kuta ndiyo mwenye ile ID ya kula tunda kimasiara au Zero IQ😀😀🏃🏃
 
It's high time ule uzi wa Rick boy wa kula tunda kimasihara ufutwe, kuna uwezekano mkubwa baba wa mtu akasimulia alivyomla kimasihara mama wa mtu, mtoto akazaliwa alafu mtoto mwenyewe akaja kulike na akamwomba mzee wake aongezee nyama nyama ili stori iwe nzuri na tamu sababu imemnogea na asijue kwamba yeye anaeomba nyama ziongezwe ndio matokeo ya ushenzi ule.... Nlishawah kusema kuna uwezekano huku jf wewe na X wako mnapendanda mapenzi moto moto ila kiukweli in real life mli achana kwa kushikiana hadi visu na mapanga, kuna uwezekano ukamtongoza mwanamke uliewah kumblock na hutaki kumsikia...acha kabisaa if.. .
 
Tatizo lako kuichukulia JF sehemu ya mizaha na mambo ya mahusiano tu.
Humu wapo mawaziri, walio kuwa raisi wa nchi, balozi wa kigeni.
Karibu kila kitu unacho search Google au kwenye AI kinachohusu Tanzania au kwa lugha kiswahili inajitokeza JF angalau link moja.
Wapo waajiri wako humu, Mimi situkani na siandiki nyuzi za ovyo.
 
Back
Top Bottom