Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 3,783
- 9,597
Usishangae mzab zab akawa baba ako wa kambo๐๐๐
๐๐๐๐Ushamba tu
Mkuu naonaga comment zako..Wewe mtoto mimi nimewahi chat nawe?!
Eti app ya ajabu๐ ๐Hapana mkuu.. mama pia hakai tz hapa leo kafata mzigo... Ndo nimekutana nae gafla bin vuu katika hali ya kustaajabisha nakutana na app ya ajabu
Kipii?Ndo hiko kitu unapenda
Wee jamaa sasa umenichakaza kule sport pesa unataka kuja na huku uanze kuongea pumba sasa ๐๐๐๐๐๐๐Usishangae mzab zab akawa baba ako wa kambo๐๐๐
Wee unaona ni sawa mkuuEti app ya ajabu๐ ๐
Kumbe kuna wengine pia wamemtaja ๐๐๐Mbona mnamtaja huyu sana ..
๐๐๐๐ Hivi mnajua mnazingua wakuu
Wee unaona hii app sawa kwa mzazi wanguEti app ya ajabu๐ ๐
Wee mkuu sio kwa maza kwanini asiwe google au fb hukoKwani maza akiwa JF kuna shida gani?
Mbona kuna watu wazima kibao tuko nao humu.
Wee jau naona kama ndo umewambia wengine maana naona unafurahia hiko kitendo ๐๐๐Kumbe kuna wengine pia wamemtaja ๐๐๐
Yani sisi wamatumbi ni washamba mno hasa wa tz๐๐๐๐
Hatuna uhakika wote mkuu..Smart phone bila Jamii forums hainogi hata,huyo ni member humu kitambo.
Bichwa yupo bana na kajibu na comment..Uwe na heshima na pisi za humu. .. alaa.
Ila unaposema ume uninstall app yenyewe naanza kuwaza BICHWA KOMWE - sijamwona md mref. ....Anaweza kuwa ndo bi mkubwa etu MWAMBA. ๐๐
Wewe bichwa ukija tu humu kunanuka mavi ghafla hapa namwaga biaShemeji nimemiss penzi lako
Acha maneno yako..Wewe bichwa ukija tu humu kunanuka mavi ghafla hapa namwaga bia
Bichwa yupo bana na kajibu na comment..
We unajiskiaje kusema bi mkubwa wangu ni bichwa ๐๐๐๐๐๐
Ndo useme BICHWA KOMWE - nje ya jf ni mtu na heshima zake ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐Japo hatufahamiani sura humu JF. Ila
Kuna watu unawaona ni vichaa Hadi unawakubari.(Yan Wana enjoy maisha yao)
Ila sema nijuavyo Mimi ni kuwa kwenye jamii huko nje wanaweza kuwa ni watu wa heshima zao kabisa . Na hawana ujinga as hawapo huru Kama hapa ndani.