Kuna jamaa zao humu wakiongozwa na Riz
Habari wazalendo wa kitanzania. Video hii nimeipata IG kiukweli nina mixed emotions. Nina hasira na masikitiko makubwa kupita kiasi. Ewe mtanzania mzalendo wa nchi tuweke mbali udini etc ni kitu kilichoniumzia roho mno. Hii video inamuonyesha Joshua Mollel akitekwa na Hamas. All the deniers sijui nawasaidia vipi. Huyu alikuwa ndugu yetu. RIP Joshua. My heart bleeds kwa hii familia

View attachment 2845298
Kuna ma agent wao humu, faidha fox , Ritz Hawa huwa ambii kitu kuhusu HAMAS . Wamekua brain washed to the highest degree
Habari wazalendo wa kitanzania. Video hii nimeipata IG kiukweli nina mixed emotions. Nina hasira na masikitiko makubwa kupita kiasi. Ewe mtanzania mzalendo wa nchi tuweke mbali udini etc ni kitu kilichoniumzia roho mno. Hii video inamuonyesha Joshua Mollel akitekwa na Hamas. All the deniers sijui nawasaidia vipi. Huyu alikuwa ndugu yetu. RIP Joshua. My heart bleeds kwa hii familia

View attachment 2845298
wao
 
Si mlisema kashikwa mateka?

Hao wanaweza kuwa mazayuni wametengeneza senema hiyo baada ya kumuuwa, wakajidai eti kauliwa na Waarabu.

Hollywood hiyo.
Faiza hata na hili huamini???
Hamas walipomuua joshua na kujirekodi unasema propaganda...
KWELI UDINI NI KANSA...
 
Na balozi wa palestina yupo nchini halafu anatuambia tuwaunge mkono wapalestina!! Ni mwehu tu atawaunga mkono magaidi mashetani waliotuulia ndugu zetu in cold blood murder.
 
Hatujui mazingira. Ila mi hapa siwalaumu sana Hamas kwa sababu Mollel alikuwa na nguo ya kijeshi iliyopelekea kuingia 18 za vita. Ni bahati mbaya sana kauawa ktk mazingira ambayo hakustahili ila kilichomponza ni hiyo chupi.
Kabisa, chupi itakuwa ilimponza, kiarabu sikijui ila nasikia neno elshabaab yaani ewe kijana!
 
onyo: video ina maudhui ya mauaji, angalia kwa tahadhari.

Lengo ni kuelimisha jamii kwamba ugaidi upo, Mtanzania mwenzetu hakuwa na silaha yoyote wala sidhani kama alikuwa anaelewa wanasema nini lakini wakamuua, wakaanza kumkanyaga tumbo na kumpiga risasi tisa.


View attachment 2845359
Duu inasikitisha mno. Wapo wanapouaga mtu wanasema Allah Akbar wanamaanishaga Nini. Mfano Ile Russian army naijua maana yake ya uraaa
 
Hamas Wanaongoza Serikali ipi? Hamas ni magaidi kama magaidi wengine,huwezi laumu Palestine Kwa vitendo vya magaidi wa Hamas ambao sio tuu wamewaua Vijana Wetu kikatili Bali pia wanawasababishia maafa raia wa Palestine wasio na hatia.

Imeniuma sana Hawa mbwa wa Hamas kuua raia wasio na hatia.

Msimamo wa Serikali yetu ni wazi kupinga mauaji ya watu wasio na hatia ambao inafanywa na Israel na Hawa Hamas.
Naona sasa umeanza kuzinduka usingizini
 
Back
Top Bottom