Nimechanganyikiwa nisaidieni

Nimechanganyikiwa nisaidieni

Majina yawaliopata mkopo yametoka lakini cha ajabu loan board wametoa asilimia chache Sana namm mfukoni nina pesa ya nauli tu, Ada ya chuo ni million moja na Laki moja lakini wao wamenipa Laki tisa na Mia tano tu
na meals and accommodation wamenipa million mbili na tisini elfu na Mia tano
Nifundisheni namna ya kukata rufaa View attachment 1977591

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Kaka mbona umependelewa Sana hiv umeona Hali za mikopo ya watu mwaka huu au unakejeli
 
Ivi kumbe unaweza ishi chuo bila demu [emoji1787] utaonekana wakuja mzee

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app

Kweli ww ni mpuuzi tena naongeza tahira mbumbumbu hujielew inaonekana huridhiki tamaa zimekutawala alaf mshamba kinoma yan majibu yako yanajielezea the way ulivyo na huridhiki na tamaa badilika kijana acha ushamba acha kuiga maisha kasome
 
Nishaur usitukane

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
Hizo ni dharau sasa. Mimi sijawahi kupewa mkopo na wala kusomeshwa na mtu. Ada ya chuo ni 1.5 kwa mwaka. Na nilikuwa nakaa nje chumba cha 80,000!

Wewe unapata mpunga wote huo unalia lia......?!
Wewe ulikuwa na pesa mm nanuka sabuni ya kipande mzee baba

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
Ivi kumbe unaweza ishi chuo bila demu [emoji1787] utaonekana wakuja mzee

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Ni wewe tu na maisha yako uliyochagua , kiukwel katika maisha Mara nyingi hua hakuna anaefatulia maisha ya mtu ni ww tu kujistukia kua kuna mtu anakufuatilia maisha yako kumbe hata hakuna , mbona niliishi tu maisha poa mkuu , mambo mengine hua ni kufuata mkumbo tu .
Na kumbe ndio maana unalalamika , kama unamawazo hayo nakwambia hata ukipewa 100% lazima utaishi maisha ya tabu tu
 
Back
Top Bottom