Nimechanganyikiwa nisaidieni

We unasema laki mbili kuna jamaa yangu bumu lote aliibiwa na malaya, najua yupo humu anisamehe hatosahau, nakumbuka nilimkopesha 25, alitumia week 3, mlo mmoja au mkate na maji mengi, sasahivi anapesa ni professional civil engineer ana mpunga kiasi, ila kila akikumbuka anasema sijui niliishije, Nitakuja adisia siku moja hiyo story, mana jamaa nilikua nae mabibe yeye civil mimi chemical, hua nacheka aliniambia we adisia tu
Hata wewe ndugu yangu kweli unaweza ishi miezi miwili kwa Laki? Au tunasanifiana tu

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
We unasema laki mbili kuna jamaa yangu bumu lote aliibiwa na malaya, najua yupo humu anisamehe hatosahau, nakumbuka nilimkopesha 25, alitumia week 3, mlo mmoja au mkate na maji mengi, sasahivi anapesa ni professional civil engineer ana mpunga kiasi, ila kila akikumbuka anasema sijui niliishije, Nitakuja adisia siku moja hiyo story, mana jamaa nilikua nae mabibe yeye civil mimi chemical, hua nacheka aliniambia we adisia tu
Duuh

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
Majina yawaliopata mkopo yametoka lakini cha ajabu loan board wametoa asilimia chache Sana namm mfukoni nina pesa ya nauli tu, Ada ya chuo ni million moja na Laki moja lakini wao wamenipa Laki tisa na Mia tano tu
na meals and accommodation wamenipa million mbili na tisini elfu na Mia tano
Nifundisheni namna ya kukata rufaa View attachment 1977591

Ww ni mwanafunzi kweli? Usiwachoshe watu, juzi tu umesema umemaliza chuo na unashindwa kuuza maji barabarani. Kwa mwanachuo halisi hyo hela n nyingi sana na inatosha
 
Halafu kalamba asilimia 70 anaanza kulia lia aende aishi kimkakati asisahau kununua jug na majani ya chai yale ya kutumbujiza ya vipacket, akiwa anapata na mkate wake huo ni mlo wa usiku , asubuhi anapiga desh anatafuta ugali wa buku na dagaa mchana, kikubwa asimiss lecture, akomae kwenye group awe msaada mambo yatajiset huko huko
kabisa mkuu, Mimi kuna kipindi chuoni nilikua natumia buku tu. Nachofanya asubuhi napiga dash, mchana naenda kwa wapishi wananipa ukoko wa jero then nadownload maji kwenye tank, jioni tena ukoko wa jero nashushia na maji ya tank naenda kulala.
 
Mbona maisha ya ajabu sana hayo

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
kabisa mkuu, Mimi kuna kipindi chuoni nilikua natumia buku tu. Nachofanya asubuhi napiga dash, mchana naenda kwa wapishi wananipa ukoko wa jero then nadownload maji kwenye tank, jioni tena ukoko wa jero nashushia na maji ya tank naenda kulala.
Kama ni ya kweli,,pole sana.
 
Majina yawaliopata mkopo yametoka lakini cha ajabu loan board wametoa asilimia chache Sana namm mfukoni nina pesa ya nauli tu, Ada ya chuo ni million moja na Laki moja lakini wao wamenipa Laki tisa na Mia tano tu
na meals and accommodation wamenipa million mbili na tisini elfu na Mia tano
Nifundisheni namna ya kukata rufaa View attachment 1977591

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Nenda Chuoni ukifika utaaelekezwa na Loan Officers sawa mkuu. Ila mbona km wee una afadhar hivi kuna wenzio hali ni mbaya zaidi
 
Imesemwa tuwe na shukrani, Mkuu kuna waliokosa na wanatamani wapewe hata 0% wapate boom wajisomeshe.

Usiwe mwepesi kulaumu laumu bado una miaka miwili yakuona kama utapewa mkopo au laa, sasa usimkasirishe Mungu ukakosa hiyo miaka mieili ijayo.

Kuwa mpole na mwenye shukrani.
 
Back
Top Bottom