Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,575
- 31,013
- Thread starter
- #101
Maisha gani haya sasa jamaniUtakosa rum tu inabidi ukapange Rau au Kcmc ambako cost ni zaidi ya hio 240K!
Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Maisha gani haya sasa jamaniUtakosa rum tu inabidi ukapange Rau au Kcmc ambako cost ni zaidi ya hio 240K!
Vyumba vinakataga, au omba kajanja mmoja akubebe! Huwa wanabebaga manjukaz ingawa mnapewa kipaumbele nyie second year wanatimuliwaga ndani!
Mimi nilisubiri boom ndo nikafanya registration, nikajazia ada, nikalipa direct cost, nikalipa bima, kodi na vijigharama vingine vinavyoibukaga tu. Nikabakiwa na kiasi kidogo sana cha hela . Niliishi kwa kujibana sana had lilipokuja boom la pili ndio mambo yakakaa sawa. Ila nilichelewa kuanza kuingia darasani pia.Direct cost na Bima ni 150400 bado hostel ni 24000 bado Laki ya kujazilizia ada jumla ni Laki Tano sasa nainyea wapi mfukoni nina sabini tu
Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Gharama zapale chuo ni kubwa direct cost na Bima sichini ya Laki na nusu hostel wanataka 240000 keshi mane bado wanataka Laki yakujazilizia ada jumla Laki tano Sina iyo pesaMbona umepata nyingi mkuu
Yani umtimue mzoefu? Haiwez kutokeaVyumba vinakataga, au omba kajanja mmoja akubebe! Huwa wanabebaga manjukaz ingawa mnapewa kipaumbele nyie second year wanatimuliwaga ndani!
Tafta kiongozi mmoja wa wanafunzi akusaidie ku TaG ubavu
Wa second year ndio wanatolewa nje, njuka mnapewa rum hizo! Ila ukiwa huna hela ya kulipa wenzio watalipia wanachukua magodoro stoo kisha wanaanza life!
hiyo mbona pochi nene kabisa, kwa siku kula 2000 tu, asubuhi kavu, mchana wali wa buku na usiku wali au ugali wa buku maji ya kunywa kwa mama ntilie una raha gani mbwa wewe(utani) hadi ununue maji dukani. Kwa miezi miwili 120000, hiyo iliyobaki ndiyo vocha na kuhonga mkuu.Pamoja na direct cost nitatoa laki Tatu itabaki Laki mbili tu kwenye pesa ya boom
Swali : Je Laki mbili utatumia miezi miwili?
Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Bila direct cost hupati usajili na kama hujajisajili hupati boom sasa ulitumia njia gani mpaka loan board wakakupa mkopo mwanafunzi ambae hajasajiliwaMimi nilisubiri boom ndo nikafanya registration, nikajazia ada, nikalipa direct cost, nikalipa bima, kodi na vijigharama vingine vinavyoibukaga tu. Nikabakiwa na kiasi kidogo sana cha hela . Niliishi kwa kujibana sana had lilipokuja boom la pili ndio mambo yakakaa sawa. Ila nilichelewa kuanza kuingia darasani pia.
😂😂
Duuuhhiyo mbona pochi nene kabisa, kwa siku kula 2000 tu, asubuhi kavu, mchana wali wa buku na usiku wali au ugali wa buku maji ya kunywa kwa mama ntilie una raha gani mbwa wewe(utani) hadi ununue maji dukani. Kwa miezi miwili 120000, hiyo iliyobaki ndiyo vocha na kuhonga mkuu.
swali zuriBila direct cost hupati usajili na kama hujajisajili hupati boom sasa ulitumia njia gani mpaka loan board wakakupa mkopo mwanafunzi ambae hajasajiliwa
Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
mm nilikua nalipa laki 3 na nusu kujazia ada, other fees na bima 230000 so nilikua sibaki na kitu kabisa kwa boom la Kwanza ila la pili na kuendelea bata tu. Jambo nililofanya nilitafuta demu wa kishua halafu nikawa muwazi kwake hivyo maisha yakawa poa kwa msaada wa bi dada.
ingawa sikushauri na wewe utumie mbinu hii kwani si salama sana, ww bora ukawa single usijihusishe kwenye mahusiano itakusaidia.mm nilikua nalipa laki 3 na nusu kujazia ada, other fees na bima 230000 so nilikua sibaki na kitu kabisa kwa boom la Kwanza ila la pili na kuendelea bata tu. Jambo nililofanya nilitafuta demu wa kishua halafu nikawa muwazi kwake hivyo maisha yakawa poa kwa msaada wa bi dada.
Akili huna utatunzwaje na mwanamkemm nilikua nalipa laki 3 na nusu kujazia ada, other fees na bima 230000 so nilikua sibaki na kitu kabisa kwa boom la Kwanza ila la pili na kuendelea bata tu. Jambo nililofanya nilitafuta demu wa kishua halafu nikawa muwazi kwake hivyo maisha yakawa poa kwa msaada wa bi dada.
Wewe umeomba msaada, tafakari sio kujaji. Kumbuka wenzio wamekosa kabisa..
Una Nia ya kusoma unaulizia upungufu wa laki mbili wakati kuna wenzako Wana hali mbaya zaidi na bado watasoma.