Nimechanganyikiwa nisaidieni

Nimechanganyikiwa nisaidieni

Majina yawaliopata mkopo yametoka lakini cha ajabu loan board wametoa asilimia chache Sana namm mfukoni nina pesa ya nauli tu, Ada ya chuo ni million moja na Laki moja lakini wao wamenipa Laki tisa na Mia tano tu
na meals and accommodation wamenipa million mbili na tisini elfu na Mia tano
Nifundisheni namna ya kukata rufaa View attachment 1977591

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Yani bro shukuru Sana Kwa Mungu umepewa hata hiyo laki Tisa hapo unahitaji kujibana kidogo Tu uongeze ili Ada itimie ...Mimi nimechaguliwa MD Ila nimeambulia Meals na accommodation Tu .....Asa sijui hela serikali waliosema wameongeza Kwa ajili ya mikopo imeenda wapi
 
Majina yawaliopata mkopo yametoka lakini cha ajabu loan board wametoa asilimia chache Sana namm mfukoni nina pesa ya nauli tu, Ada ya chuo ni million moja na Laki moja lakini wao wamenipa Laki tisa na Mia tano tu
na meals and accommodation wamenipa million mbili na tisini elfu na Mia tano
Nifundisheni namna ya kukata rufaa View attachment 1977591

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Nenda chuo usichanganyiwe tafuta direct cost na kiasi cha laki mbili ya ada utabana MA ujazie ada.Maisha yaendelee.
 
Majina yawaliopata mkopo yametoka lakini cha ajabu loan board wametoa asilimia chache Sana namm mfukoni nina pesa ya nauli tu, Ada ya chuo ni million moja na Laki moja lakini wao wamenipa Laki tisa na Mia tano tu
na meals and accommodation wamenipa million mbili na tisini elfu na Mia tano
Nifundisheni namna ya kukata rufaa View attachment 1977591

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Mkuu we nenda chuo tu , nakumbuka mm nilipewa 80% ya ada , ada ilikua 1.5 , laki tatu nilikua nalipa mwenyewe , hiyo laki tatu nilikua naitoa kwenye bumu , na kipindi hicho bumu ilikua buku tano kwa siku , lakini niliishi maisha fresh tu , bila stress yeyote na sikuwahi kuomba pesa yeyote toka home , tena nakumbuka nilijibana hadi nikanunua laptop , yaani niliishi maisha bomba tu , kwan mpaka namaliza chuo sikuwahi kuishiwa pesa aisee , najishangaa hadi namaliza chuo nilikua na akiba ya laki sita ,
Sema kilichonisaidia nilikua sio mtu wa anasa na wala nilikua sina dem wala nn , miaka yote niliishi mabibo hostel siku nyingine kama sina pindi asubuhi nilikua napiga shuttle pori mpaka main cumpas , vipind vya asubuh na kurudi jioni ndio nilikua napanda gari aisee .
Chamsing ni kupunguA matumizi yasiyo ya lazima
 
Hizo ni nyingi mkuu.kalipie karo na yale makorokoro mengine ili ujirejiste kwanza chuo.Mengine yatafuata.ishi kistarabu.acha starehe chukua boom kidogo ongezea ada
 
Mkuu we nenda chuo tu , nakumbuka mm nilipewa 80% ya ada , ada ilikua 1.5 , laki tatu nilikua nalipa mwenyewe , hiyo laki tatu nilikua naitoa kwenye bumu , na kipindi hicho bumu ilikua buku tano kwa siku , lakini niliishi maisha fresh tu , bila stress yeyote na sikuwahi kuomba pesa yeyote toka home , tena nakumbuka nilijibana hadi nikanunua laptop , yaani niliishi maisha bomba tu , kwan mpaka namaliza chuo sikuwahi kuishiwa pesa aisee , najishangaa hadi namaliza chuo nilikua na akiba ya laki sita ,
Sema kilichonisaidia nilikua sio mtu wa anasa na wala nilikua sina dem wala nn , miaka yote niliishi mabibo hostel siku nyingine kama sina pindi asubuhi nilikua napiga shuttle pori mpaka main cumpas , vipind vya asubuh na kurudi jioni ndio nilikua napanda gari aisee .
Chamsing ni kupunguA matumizi yasiyo ya lazima
Ivi kumbe unaweza ishi chuo bila demu utaonekana wakuja mzee

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
Majina yawaliopata mkopo yametoka lakini cha ajabu loan board wametoa asilimia chache Sana namm mfukoni nina pesa ya nauli tu, Ada ya chuo ni million moja na Laki moja lakini wao wamenipa Laki tisa na Mia tano tu
na meals and accommodation wamenipa million mbili na tisini elfu na Mia tano
Nifundisheni namna ya kukata rufaa View attachment 1977591

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Wewe mtu asee huna shukrani. Kuna wenzako hawatapata hata 100.

Mimi nimesoma chuo sina boom so tuition fee naunga unga tu na hela ya stationeries ndio usiseme na kila siku handouts zinatolewa na kuuzwa.

Kama sio wana kunibeba beba na kununua plate moja tunagonga watu wawili na kunywa maji ya kandoro nahisi nisingetoboa.
 
Back
Top Bottom