Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,513
- 9,553
matako weweAyaaa sasa itakuaje mm kujizuia kwenye matanuzi siwezagi yani bila k vant na kitimoto nusu siku haiendi kabisa yani
Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
matako weweAyaaa sasa itakuaje mm kujizuia kwenye matanuzi siwezagi yani bila k vant na kitimoto nusu siku haiendi kabisa yani
Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Nina nauli tu na Sina msaada wowote nisaidieni ushauri namna ya kufanyaKuwa na heshima kijana.
Hiyo ada unaweza kuongeza mwenyewe.
Kuna watu wamepewa ada laki moja na 70 kati ya milioni moja na nusu.
na hata hiyo nauli hawana
Kwann tena kaka naomba ushauri unanidhihakiWewe sio mwanafunz wa chuo tunapoteza mda wetu bure hapa unatufekia mavi ww
mwanafunzi gani kila siku anakunywa k vant, anatuona watoto huyuWewe sio mwanafunz wa chuo tunapoteza mda wetu bure hapa unatufekia mavi ww
wewe una tuenjoy tu hapa, either ni jambo limemkuta ndugu au mtu wa karibu na wewe au umesikia malalamiko mtandaoni ukaona ufungue thread.
Tembeza bakuli

Sawa kkWe jamaa akili zako bwana unalalamika hela ndogo kumbe unawaza mademu em acha ujinga shukuru ata umepata hiyo unayosema haitoshi kuna wenzako hawajaambulia chochote...jibane hiyo hiyo maisha yaende
Sawa kkShukuru kwa hicho ulichopata, Lipa ada complete halafu utabakiza 1,900,000 kwa MA which is enough. Jifunze kujibana, huku mtaani maisha ni magumu sana.
Hilo kweli tatizo ni umasikini kk anguAdhari za kusoma kwamkopo Ni pmj kukatwa pesa mingi Sana tofuti na uoiyotumia pindi upatapo ajiraa mm cjasoma kwamkopo ila kila nikipataga kibaruaa vya milioni jmn nasave pesa mingi tofauti na wanaopitishwabodi