Nimechanganyikiwa nisaidieni

Nimechanganyikiwa nisaidieni

kwa wewe umesema una nauli tu hapo ulipo hauwez kutanua...maana wanaotanua chuo ni either pesa za nyumbanj kwao au wana biashara, boom hauwez kutanua na ukijaribu utateseka bure
Ayaaa sasa itakuaje mm kujizuia kwenye matanuzi siwezagi yani bila k vant na kitimoto nusu siku haiendi kabisa yani

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
Kuwa na heshima kijana.
Hiyo ada unaweza kuongeza mwenyewe.

Kuna watu wamepewa ada laki moja na 70 kati ya milioni moja na nusu.
na hata hiyo nauli hawana
 
Back
Top Bottom