Nimechanganyikiwa nisaidieni

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,304
29,835
Majina yawaliopata mkopo yametoka lakini cha ajabu loan board wametoa asilimia chache Sana namm mfukoni nina pesa ya nauli tu, Ada ya chuo ni million moja na Laki moja lakini wao wamenipa Laki tisa na Mia tano tu
na meals and accommodation wamenipa million mbili na tisini elfu na Mia tano
Nifundisheni namna ya kukata rufaa
20211017_174230.JPG

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
Majina yawaliopata mkopo yametoka lakini cha ajabu loan board wametoa asilimia chache Sana namm mfukoni nina pesa ya nauli tu, Ada ya chuo ni million moja na Laki moja lakini wao wamenipa Laki tisa na Mia tano tu
na meals and accommodation wamenipa million mbili na tisini elfu na Mia tano
Nifundisheni namna ya kukata rufaa View attachment 1977591

Unatakiwa kunajibana kwenye
...meals & Accomodatioon, stationary ulipeeee ada ndugu
 
Majina yawaliopata mkopo yametoka lakini cha ajabu loan board wametoa asilimia chache Sana namm mfukoni nina pesa ya nauli tu, Ada ya chuo ni million moja na Laki moja lakini wao wamenipa Laki tisa na Mia tano tu
na meals and accommodation wamenipa million mbili na tisini elfu na Mia tano
Nifundisheni namna ya kukata rufaa View attachment 1977591

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Hongera sana,,,Umepewa mkopo wa kutosha kabisa.....Unadaiwa ada laki 2 tu. Semester 1 unalipa laki moja then unamalizia nyingne semester 2. Nenda report, mkope mtu laki moja ulipe ada,ukisha sign boom unapokea laki 5 yako shida zote zinaisha
 
Mkuu ebu kaachini then mshukuru Mungu kwa ulicho kipata.

Mm wakati npo chuo nilipata mkopo but nilipewa meals and accomodation pamoja na stationary lkn niliweza kujilipia ada na kuishi vizuli tu.

Kitu chakufanya usiende kupanga Kaa hostel Mkuu then kabla ya kupokea pesa fanya mipangilio mizuli yapesa zako natumaini utatoboa lkn ukijichanganya kupanga tuuu uwez toboa trust me Mkuu
 
Mkuu ebu kaachini then mshukuru Mungu kwa ulicho kipata.

Mm wakati npo chuo nilipata mkopo but nilipewa meals and accomodation pamoja na stationary lkn niliweza kujilipia ada na kuishi vizuli tuu
Kitu chakufanya usiende kupanga Kaa hostel Mkuu then kabla ya kupokea pesa fanya mipangilio mizuli yapesa zako natumaini utatoboa lkn ukijichanganya kupanga tuuu uwez toboa trust me Mkuu
Sawa mkuu

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
Majina yawaliopata mkopo yametoka lakini cha ajabu loan board wametoa asilimia chache Sana namm mfukoni nina pesa ya nauli tu, Ada ya chuo ni million moja na Laki moja lakini wao wamenipa Laki tisa na Mia tano tu
na meals and accommodation wamenipa million mbili na tisini elfu na Mia tano
Nifundisheni namna ya kukata rufaa View attachment 1977591

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app

Nenda kasajili achana na ujinga wa Furaha hiyo hela inatosha
 
Back
Top Bottom