Billion Dolar
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 1,440
- 3,249
Unajua pia mimea ni viumbe hai au hujalifikiria hili
Mbona unapingana na uumbaji(nature) mkuu?Sijaoa na sitegemei kuoa. Dunia yote hii inanitegemea.
Ataweza kupingana na nature au uumbaji?Kwanini mkuu,akiamua anaweza
Ila ujue kama sio mahusiano wewe usingekuwepoKiukweli kila nikitazama maana ya mahusiano sioni umuhimu wake au sioni maana yake na kila nikitazama mahusiano najawa na maswali zaidi. Sio kwa baba yangu au kwa mama aliyetangulia hibernation.
nimekwisha jizuia.
Vipi kuna dini au dhehebu linafundisha hayo au ni maamuzi yako binafsi?Shukrani, na ni kweli maana ya hili sitokuja kuoa.
Kuhusu sukari ni kwamba, utatumia asali kwenye chai badala ya sukariHongera,
Kuna vitu nataka niachane navyo kabisa ila kwa wakati fulani natumia japo kwa kiasi sana kutokana na mazingira
[emoji736]Soda naweza kumaliza hata miezi sita sijanywa,nakunywa napolazimika tu
[emoji736]Nina miaka mingi situmii majani ya chai/kahawa
[emoji736]Nataka niachane kabisa na sukari ya kiwandani ila sijapata mbadala kwa hio natumia japo kwa kiwango kidogo sana
[emoji736]Natamani niache kunywa dawa za viwandani nitumie herbs tu japo bado nakumbana na vikwazo fulani.
Hili la kuachana kabisa na sukari kama kuna mtu kafanikiwa atuambie amewezaje?
Pombe hukuumbwa nayo Ila sex umeumbiwaNi maamuzi tu! Ni sawa na mtu yeyote anayeamua maisha yake yote hatokunywa pombe na anafanikiwa.
Ukianza kufanya mazoezi inabidi na lishe uongeze kwani unapoteza kiasi kikubwa zaidi cha energyHebu nipe shule...yanii naogopa Hadi kufanya mazoezi cuz Kuna kipindi nlikua nafanya nikawa napungua tu😣 ikabd niache
nakuunga mkono kwa yote.Habari 👋🏾
Siku ya leo nikiwa natimiza miaka kadhaa nimekuwa VEGAN rasmi. Hatua hii nimekwisha ianza muda toka 28 January, hivi sasa naendeleza nadhiri hii rasmi katika mfumo wa maisha yangu.
Nimekuwa nikijiuliza utajiita vipi mwenye upendo, heshima au mtu unayejali hisia na kuheshimu wengine ikiwa umeshindwa kuheshimu uwepo wa viumbe wengine kama wanyama, ndege na wengineo?
Kwa kujali na kuona umuhimu wa kila kiumbe nimekuwa nikivijali viumbe vyote mfano, huwatengea waramba sukari kiasi chao pasi ya kuwapatia bugdha, uhifadhi mayai ya kuku na kutotoa wengine kuendeleza uzao wao, hutembea na wanyama mbalimbali katika maeneo kadhaa waweze kijihisi umiliki nk.
Leo nimepanda miti 28 maeneo yayonizunguka na miti 21 maeneo ya umma katika shule 2, hospitali, eneo la jeshi, kituo cha wasiojiweza na watoto waishio mazingira hatarishi na katika ofisi za wilaya.
Nikiwa kama kijana anayezingatia maisha halisi leo ni wazi sitotumia tena bidhaa zinazotokana na wanyama na viumbe mbalimbali. Hili linaambatana na masuala kadhaa katika mfumo wangu wa maisha ninaoendelea kuufuata ikiwa ni pamoja na;-
Najihisi mwenye furaha na amani, najiona mshindi. 😊
- Sishiriki mapenzi (Sex)
- Situmii vinywaji kemikali (Processed Drink's)
- Situmii bidhaa zenye sukari ongezwa (Candy's)
- Situmii bidhaa zinafanywa majaribio kwa wanyama
- Nimejiweka mbali na uovu na negativity ya aina yoyote
- Sifungamani na upande wowote
Sergio
vinywaji vyenye cafein ni hatariJitahidi uachane nayo, ukiona desire soda inakuntrol basi ushafika haatua mbaya
Kwanini mkuu,akiamua anaweza
Unaamini uwepo wa Mungu, aliyesema si vyema mwanaume aishi peke yake na alieagiza tuzaane?Napenda sana watoto na hakika wananipenda pia, but hamna namna tena ya kuwa na watoto 🙃
Caucasian ndio hao tunaowaita wazungu, na jamii ya wazungu ndio huwa na itikadi na tamaduni hizi za mtoa mada
Mdudu kaingiaje kwenye kokwa la embe?[emoji848]Tayari mdudu keshaingia kwenye embe?[emoji276]