Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,712
Samaki pia huli eti? Au utatumia omega 3Hakika
Samaki pia huli eti? Au utatumia omega 3Hakika
Muundelezo wa watu duniani hauletwi kwa kuzaa hovyo.Mkuu hapo kwenye kutokusex naona kama hutendi haki ikiwa unashiriki kupanda miti kwa maana ya kuweka mwendelezo wa uhai/existance ya hivyo viumbe, meanwhile kusex ndo kunafanya mwendelezo wa uwepo wa binadam duniani.
Mwisho. Tukupe muda gani wa kutangazwa kuwa bilionea?! Make umechagua kujitenga na anasa zote za dunia, so obviously savings lazima iwe kubwa
Yes! Hata samaki na jamii yake situmii.Kwani na samaki amesema hatakula kumbe??
Fresh kabisa,.. endapo ningelikuwa wa ku-practice basi kufikia leo ningelikuwa nime-commit na 28 different girls/women.Duh hongera na jogoo anawika fresh au pangu pakavu tia mchuzi[emoji3]
AsanteMajibu mazuri sana, Kila la heri rafiki.
Mkuu kwani upo nchi gani? Maana hii lifestyle yako hata niggas walio pale Kansas city Missouri hawafanyi hivi ... hayo mambo ya hiking na ku-explore.. mkoa gani?Mara nyingi hali ya namna hii inanipelekea kutengeneza schedule muhimu ikiwa ni pamoja na siku nne katika wiki huwa na intensive workout kwa masaa 2 - mazoezi zaidi ya jeshi, siku tatu bakia hufanya hiking na ku-explore maeneo mapya.
Ohooo hadi viatu vya ngozi??Situmii bidhaa zinazotokana na wanyama, sivai viatu vilivyotengenezwa na ngozi and co.
Mimi ni moja ya watu wanaojitolea Parley for Oceans katika ubunifu wa mavazi kwa kutumia plastic baada recycle.
Ufanye kutoka kwa roho sio kufuata fulani nor trend, fanya kutokana na maono uliyonayo. Weka nadhiri, imani na usiwe mnafiki kwako mwenyewe.Mkuu unaniconvince Sana na hii life style, Naomba nije pm unipe procedure ntawezaje hii kitu.. do'z and Don'tz
Mtu yeyote anayekwambia 'Dunia tunapita' kaa kwa umakini dhidi yake, muogope.Kuna kitu fulani tumefanana hapo, Before nilihisi ni psychological problem ila nimegundua kua ndio nilivyoumbwa.
Sijui kusudi la kuumbwa hivi ni nini bado natafuta nijue..
Yes hata samaki na bidhaa zinazotokana naye.Samaki pia huli eti? Au utatumia omega 3
Juice ya Lozera ya baridi huwa wanachangaya na vitu gani sijui ni nzuri,Bahati nzuri mie sinaga manyama uzembe...hayo malove handle mie sina...sema kakitambi kakuonesha katumbo kapo! Toka asbhbsijanywa coca..imebid niitafte nw akili itulie nataman kuacha sema sina substute...
Sioni kabisa kama najinyima starehe! Starehe zina vary toka kwa muhusika. Kwangu nikitazama fútbol kwa 90+ minutes, kusikiliza muziki au kupika mwenyewe ni starehe kubwa sana.Ndugu nimekulewa isivyo naomba uniondoe kwenye dillema umesema haujawahi kusex tangu uzaliwe au ?
Na hauoni kwamba una jinyima starehe kuliko kubwa ambayo Wanadamu tumezawadiwa ?
Naomba jibu.
Hebu nipe shule...yanii naogopa Hadi kufanya mazoezi cuz Kuna kipindi nlikua nafanya nikawa napungua tu😣 ikabd niacheMkuu huwa unakula vyakula vya wanga kwa wingi , kama ugali, wali, mikate n.k?
Inawezekana upo kwenye blood group lisilo athiriwa sana na matumizi hayo ya sukari,
Maana wataalamu wa lishe huwa wanapendekeza aina za vyakula kutegemeana na blood group ya mtu!
Dooh pole...Mimi despite ya kula nyama and so forth. Ila vegs hata asbh naeza kula mafungu mawili nachemsha na kachumvi yanii hua kabisa na hamu inakuja ya vegsVegetables zinakubeba....mie nimeadd weight zaidi ya 20kgs...najiangalia tu nabak nasema nhiiii....wiki zima natumia public transport nasaga lami balaa nasweat balaa
Duh....bas uko vyemaDooh pole...Mimi despite ya kula nyama and so forth. Ila vegs hata asbh naeza kula mafungu mawili nachemsha na kachumvi yanii hua kabisa na hamu inakuja ya vegs
Jamani mie rozela siziwez .na sizipend ule ugwadu..arghhhJuice ya Lozera ya baridi huwa wanachangaya na vitu gani sijui ni nzuri,
Unaiweka kwenye chupa empty ya coca unafunika na kzibo kabisa , unakunywa kama coca na mishikaki yako huku umekunja nne
Mie afro-mkushi 'Cushite' mkuu na hike Kagera huku.Mkuu kwani upo nchi gani? Maana hii lifestyle yako hata niggas walio pale Kansas city Missouri hawafanyi hivi ... hayo mambo ya hiking na ku-explore.. mkoa gani?
Wewe ni caucasian??