stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,843
- 27,429
Sawa mkuu,kila la kheri,ila kuna hicho cha kwanza kama ukikiweza kujiepusha nacho itakuwa vizuri sana,ina maana sasa hutaoa kabisa...?Faida ni nyingi hakika maradhi ya sukari, shinikizo la damu, inflammation, matatizo ya ngozi, hali ya umakini, kutokuwa/kupunguza stress and so many more. Kiroho ni nguvu zaidi baina ya roho, nafsi, nature na muumba hakuna doubt wala vikwazo.