Naamini Mungu muumba sio Mungu wa ngano, riwaya na hadithi.Unaamini uwepo wa Mungu, aliyesema si vyema mwanaume aishi peke yake na alieagiza tuzaane?
Hapana nipo fresh kabisa, fit 100 👌🏾Umekuwa hanithi?
Mimi nimemjua mwanamke nikiwa na miaka 27 chuoni hadi leo hii k au mwanamke sio ishu kwangu na nimeoa but sex sio kipaombeleIkiwa sijawahi kufeli, siamini katika kitu kufeli na katu sitokuja kufeli. Huu ni mwaka wa 21 bila sex ije kushindwa miaka kadhaa bakia?
Katika vitu situmiagi ni vinywaji kama hivi yaani kwa mwezi nakunywa 1 au sinywag kabisa ila napenda glandmartNimejitahid wee wapi zamn nilikua nakunywa had 3. Since corona ije nakunywa 1. Coca ya baridi ni kitu kingine jamani.
Pschychological set up ya mind tuuKila kitu kinawezekana ni mtu mwenyewe na maamuzi yako. Amini hilo
Kuhusu sukari ni kwamba, utatumia asali kwenye chai badala ya sukari
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] ishu ya kuku na kitimoto ni ngumu Sana kuacha but hupaswi kula kila mda japo kwangu kuku ni msosi nakula mara nyingi kwa wiki kutokana na mazingira nilikoNatamani kuwa vegan, si sababu ya kuwahurumia wanyama lakini. Shida ni kuku roast na kitimoto.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukifukuzwa kazi"
Plus ukose nguvu za kiume daa!! Yaan unajikuta unafanya tu mambo ya ajabu:
Hapo kwenye dawa ndio pagumu but meditation na kuamini kutokuumwa na kujitunza kitakufanya usiugue na kutumia dawa,herbs hupatikanaji na uhakika wake wa kutibu ni mgumu.Hongera,
Kuna vitu nataka niachane navyo kabisa ila kwa wakati fulani natumia japo kwa kiasi sana kutokana na mazingira
[emoji736]Soda naweza kumaliza hata miezi sita sijanywa,nakunywa napolazimika tu
[emoji736]Nina miaka mingi situmii majani ya chai/kahawa
[emoji736]Nataka niachane kabisa na sukari ya kiwandani ila sijapata mbadala kwa hio natumia japo kwa kiwango kidogo sana
[emoji736]Natamani niache kunywa dawa za viwandani nitumie herbs tu japo bado nakumbana na vikwazo fulani.
Hili la kuachana kabisa na sukari kama kuna mtu kafanikiwa atuambie amewezaje?
Unatumia nn zaidKatika vitu situmiagi ni vinywaji kama hivi yaani kwa mwezi nakunywa 1 au sinywag kabisa ila napenda glandmart
Kwahiyo hawa vegan hawaoi?! Ntamfuata ila hivo vitu ntakula kisirisiri..[emoji16]usiombe uwe kwenye mahusiano na mtu halafu akaja kubadili mfumo wa maisha na kuwa vegan, ni either umfuate au kwaheri.
kila la heri ndg vegetarian.
Jiandae kuzikwa na gunzi kwenye tigo
vinywaji vyenye cafein ni hatari
Well said! Wengi wanadhani wakishindwa wao kila mmoja baina yao atashindwa pia.Kuna watu wanaamini bila pombe hawezi jiamini au kufanya jambo kiushujaa ,hii ndio sawa na kusema kuacha sex ni ngumu
Napendaga kutoa mfano wangu binafsi nimeanza sex nikiwa na 26 hiyo ni 2014 na niko mzima kabisa ila sex na mambo ya kupendana hadi leo hii sio favourite kwangu.
Pili pombe sinywi aina yoyote lakini nashinda Bar na klabu za usiku nimeenda Sana kucheza mziki lakini sinaga aibu hata kidogo.
Kitu napenda ni mziki na niko addicted na mambo ya kujisomea na kujadiliana kwenye mitandao.
Nachoamini ni saikolojia unayoijengea akili yako tuu ila hakuna kisichowezekana.
Kuna pressure kubwa zaidi ya hizi, nimeface na nipo imara. Sidhani kama nikihukumiwa na jamii kwangu inabadili uhalisia. Ni sawa na mtu akuite 'paka' haukufanyi kuwa paka.Vyote utaweza ila pressure ya kuoa/kuolewa jamii itakuhukumu. Utaambiwa sio rizki wewe, na watoto wadogo watakudharau kisa huna mke huna watoto, ukiweza kumudu hayo, we sio mtu bali jinamizi!