Khe tobaaaSijaoa na sitegemei kuoa. Dunia yote hii inanitegemea.
[emoji1][emoji1][emoji1]Amesema hataki kula wanyama,ndege nk
Sasa siusomee upadri tu.Vigezo unavyoNimejitenga rasmi na mambo ya dunia nikiwa na miaka 8, lakini sijajitenga na dunia.
Dunia inatuhitaji
Kapime tu kutakuwa na shda mkuu ,hata mungu alivyosema tukazaliane hakukoseaKiukweli kila nikitazama maana ya mahusiano sioni umuhimu wake au sioni maana yake na kila nikitazama mahusiano najawa na maswali zaidi. Sio kwa baba yangu au kwa mama aliyetangulia hibernation.
Kuiongoza dunia dah ,Nacheka sanaAsante
Najibu maswali yako kama ifuatavyo;- | Nipo stable kuanzia asubuhi na pale inapobidi au kutokea ni moja ya watu wachache sana waliokuwa active hakika. Kuhusu kutamani naweza kusema ndiyo!
Mara nyingi hali ya namna hii inanipelekea kutengeneza schedule muhimu ikiwa ni pamoja na siku nne katika wiki huwa na intensive workout kwa masaa 2 - mazoezi zaidi ya jeshi, siku tatu bakia hufanya hiking na ku-explore maeneo mapya.
Sijawahi kushiriki sex, nimeacha mapenzi ya aina yoyote ile. | Maana ya maisha kwangu ni kuiongoza dunia as intended, kuifikisha mahala salama na kufanya mambo mapya. Furaha kwangu ni sanaa na ubunifu na ndio chimbuko la kitu katika maisha yetu.
Naweza kujibu hivi kwa sasa [emoji6]
Thanks Chaliifrancisco 😊All the best Sergio. Everything is possible when you have will and determination.
Do not feed on the negative energy in here.
WHO CARES? 🤷♂️Habari 👋🏾
Siku ya leo nikiwa natimiza miaka kadhaa nimekuwa VEGAN rasmi. Hatua hii nimekwisha ianza muda toka 28 January, hivi sasa naendeleza nadhiri hii rasmi katika mfumo wa maisha yangu.
Nimekuwa nikijiuliza utajiita vipi mwenye upendo, heshima au mtu unayejali hisia na kuheshimu wengine ikiwa umeshindwa kuheshimu uwepo wa viumbe wengine kama wanyama, ndege na wengineo?
Kwa kujali na kuona umuhimu wa kila kiumbe nimekuwa nikivijali viumbe vyote mfano, huwatengea waramba sukari kiasi chao pasi ya kuwapatia bugdha, uhifadhi mayai ya kuku na kutotoa wengine kuendeleza uzao wao, hutembea na wanyama mbalimbali katika maeneo kadhaa waweze kijihisi umiliki nk.
Leo nimepanda miti 28 maeneo yayonizunguka na miti 21 maeneo ya umma katika shule 2, hospitali, eneo la jeshi, kituo cha wasiojiweza na watoto waishio mazingira hatarishi na katika ofisi za wilaya.
Nikiwa kama kijana anayezingatia maisha halisi leo ni wazi sitotumia tena bidhaa zinazotokana na wanyama na viumbe mbalimbali. Hili linaambatana na masuala kadhaa katika mfumo wangu wa maisha ninaoendelea kuufuata ikiwa ni pamoja na;-
Najihisi mwenye furaha na amani, najiona mshindi. 😊
- Sishiriki mapenzi (Sex)
- Situmii vinywaji kemikali (Processed Drink's)
- Situmii bidhaa zenye sukari ongezwa (Candy's)
- Situmii bidhaa zinafanywa majaribio kwa wanyama
- Nimejiweka mbali na uovu na negativity ya aina yoyote
- Sifungamani na upande wowote
Sergio