Nimeanza maisha mapya kama Vegan

Nimeanza maisha mapya kama Vegan

Ukisikia hamu ya sex unafanyaje? Unapiga punyeto?
Kiukweli kila nikitazama maana ya mahusiano sioni umuhimu wake au sioni maana yake na kila nikitazama mahusiano najawa na maswali zaidi. Sio kwa baba yangu au kwa mama aliyetangulia hibernation.
 
 
Sivyo ulivyoumbwa kuna vitu umekutana navyo kwenye maisha yako kama watu, vitabu, movies ambavyo vimekupelekea kuwa na muelekeo huo.
Kuna kitu fulani tumefanana hapo, Before nilihisi ni psychological problem ila nimegundua kua ndio nilivyoumbwa.
Sijui kusudi la kuumbwa hivi ni nini bado natafuta nijue..
 
Keshapata hitilafu huko kichwani sio bure
Ni kweli mkuu, hata mi nilivomfuatilia vzr nimesibitisha amepata hitilafu.

Anasema anakula mimea kwasbb ni viumbe hai vinavyounganisha uhai wa viumbe wengine, anasahau hata wanyama pia ni kiunganishi cha maisha ya viumbe wengine.

Binadamu ni ametengenezwa multipurpose anakula kila kitu,
Yeye anataka aishi kama ng'0mbe!
 
Wanga ni chanzo cha sukari nyingi mwilini,na uzito uliopitiliza
Ni chanzo

ila sio sababu kuu kama unakula kwa kiasi
Usipokula wanga utakula nini.,msiniambie protein..ndo kila siku?
Nguvu ya mwili utatoa wapi?.
 
Kila chakula ni kizuri sana mwilini
Ndo mana kuna 3 course meal ama niseme ulaji wa vyakula mchanganyiko ili upate makundi yote

keyword ni KIASI
 
Nakutamania, maisha mazuri hayo ila usijinyime sana ukatenda dhambi..mie nisipokula nyama 3dys roho hua inataka kutoka!

Soda nisipokunywa Coca sifanyi kitu nakua zoba.

Hapa niko sehem nasubiria mishikaki kwanza.

All the best

Mkuu punguza Coca kidogo kidogo,ukiweza acha kabisa ila ukishindwa kuacha kunywa mara moja moja sana. Nyama sijajua unakula kiasi gani kwa mlo mmoja,ila kama ni nusu kilo au kilo punguza pia. Ila kama ni hizi za kutengeneza na ndizi au mboga sawa.
 
kupanga ni kuchagua...
all in all nimependa uandishi wako na jinsi unatoa majibu mujarab kbs.
ni uamuzi mzuri tuu nini ndugu yangu sasa miaka 20 hatumii hizo product baada ya kupata aleji flani..but anaishi na yupo buheri wa afya kbs.
Shukrani 👌🏾
 
Kuwa vegan na tendo la ndoa ina uhusiano gani
 
Habari [emoji1480]

Siku ya leo nikiwa natimiza miaka kadhaa nimekuwa VEGAN rasmi. Hatua hii nimekwisha ianza muda toka 28 January, hivi sasa naendeleza nadhiri hii rasmi katika mfumo wa maisha yangu.

Nimekuwa nikijiuliza utajiita vipi mwenye upendo, heshima au mtu unayejali hisia na kuheshimu wengine ikiwa umeshindwa kuheshimu uwepo wa viumbe wengine kama wanyama, ndege na wengineo?

Kwa kujali na kuona umuhimu wa kila kiumbe nimekuwa nikivijali viumbe vyote mfano, huwatengea waramba sukari kiasi chao pasi ya kuwapatia bugdha, uhifadhi mayai ya kuku na kutotoa wengine kuendeleza uzao wao, hutembea na wanyama mbalimbali katika maeneo kadhaa waweze kijihisi umiliki nk.

Leo nimepanda miti 28 maeneo yayonizunguka na miti 21 maeneo ya umma katika shule 2, hospitali, eneo la jeshi, kituo cha wasiojiweza na watoto waishio mazingira hatarishi na katika ofisi za wilaya.


Nikiwa kama kijana anayezingatia maisha halisi leo ni wazi sitotumia tena bidhaa zinazotokana na wanyama na viumbe mbalimbali. Hili linaambatana na masuala kadhaa katika mfumo wangu wa maisha ninaoendelea kuufuata ikiwa ni pamoja na;-
  • Sishiriki mapenzi (Sex)
  • Situmii vinywaji kemikali (Processed Drink's)
  • Situmii bidhaa zenye sukari ongezwa (Candy's)
  • Situmii bidhaa zinafanywa majaribio kwa wanyama
  • Nimejiweka mbali na uovu na negativity ya aina yoyote
  • Sifungamani na upande wowote
Najihisi mwenye furaha na amani, najiona mshindi. [emoji4]

Sergio
Kula nyama haimanishi wewe ni mtu mbaya kwa ulimwengu, bali unakua katika nafasi yako ya food chain kama simba anavyokula swala. Ulimwengu ndivyo ulivyo tunakulana, na sisi pia miili yetu huliwa na viumbe wengine. Kihistoria survival ya binadamu kama specie imetegemea kwa kiasi kikubwa sana ulaji wa nyama.

Naomba mikuulize lengo lako kubwa la kuacha sex ni nini? Unaaamini sex inashida gani?
 
Back
Top Bottom