Nimeanza maisha mapya kama Vegan

Nimeanza maisha mapya kama Vegan

Nakutamania, maisha mazuri hayo ila usijinyime sana ukatenda dhambi..mie nisipokula nyama 3dys roho hua inataka kutoka!

Soda nisipokunywa Coca sifanyi kitu nakua zoba.

Hapa niko sehem nasubiria mishikaki kwanza.

All the best
Naamini katika uhalisia, siwezi kuongopa na kuwa mnafiki. Leo ni mwezi wa kumi bila ya soda na kemikali nyingine processed.

Mwezi wa tatu bila bidhaa yoyote toka kwa mnyama.
 
Back
Top Bottom