Nimeanza maisha mapya kama Vegan

Nimeanza maisha mapya kama Vegan

Hebu nipe shule...yanii naogopa Hadi kufanya mazoezi cuz Kuna kipindi nlikua nafanya nikawa napungua tu😣 ikabd niache
Usiache mzoezi, jitahidi kila vyakula vya kujeng mwili zaidi ambavyo ni protein zaidi ,

Pamoja na misosi yenye calories za kutosha .. itakusaidia usipungue mwili bali ugain muscle
 
usiombe uwe kwenye mahusiano na mtu halafu akaja kubadili mfumo wa maisha na kuwa vegan, ni either umfuate au kwaheri.
kila la heri ndg vegetarian.
Halafu mkuu kuna utaofauti kati ya Vegan na hao Vegetarian Mkuu

wenyewe wanadai wapo tofauti.
 
Ikiwa sijawahi kufeli, siamini katika kitu kufeli na katu sitokuja kufeli. Huu ni mwaka wa 21 bila sex ije kushindwa miaka kadhaa bakia?
Kwahiyo papuchi/mbususu huwa unaziskia redioni tu hujui hata zinafananaje? Sasa wewe matamanio ya mwili unacontrol vipi mkuu? hongera vegan
 
Habari šŸ‘‹šŸ¾

Siku ya leo nikiwa natimiza miaka kadhaa nimekuwa VEGAN rasmi. Hatua hii nimekwisha ianza muda toka 28 January, hivi sasa naendeleza nadhiri hii rasmi katika mfumo wa maisha yangu.

Nimekuwa nikijiuliza utajiita vipi mwenye upendo, heshima au mtu unayejali hisia na kuheshimu wengine ikiwa umeshindwa kuheshimu uwepo wa viumbe wengine kama wanyama, ndege na wengineo?

Kwa kujali na kuona umuhimu wa kila kiumbe nimekuwa nikivijali viumbe vyote mfano, huwatengea waramba sukari kiasi chao pasi ya kuwapatia bugdha, uhifadhi mayai ya kuku na kutotoa wengine kuendeleza uzao wao, hutembea na wanyama mbalimbali katika maeneo kadhaa waweze kijihisi umiliki nk.

Leo nimepanda miti 28 maeneo yayonizunguka na miti 21 maeneo ya umma katika shule 2, hospitali, eneo la jeshi, kituo cha wasiojiweza na watoto waishio mazingira hatarishi na katika ofisi za wilaya.

Nikiwa kama kijana anayezingatia maisha halisi leo ni wazi sitotumia tena bidhaa zinazotokana na wanyama na viumbe mbalimbali. Hili linaambatana na masuala kadhaa katika mfumo wangu wa maisha ninaoendelea kuufuata ikiwa ni pamoja na;-
  • Sishiriki mapenzi (Sex)
  • Situmii vinywaji kemikali (Processed Drink's)
  • Situmii bidhaa zenye sukari ongezwa (Candy's)
  • Situmii bidhaa zinafanywa majaribio kwa wanyama
  • Nimejiweka mbali na uovu na negativity ya aina yoyote
  • Sifungamani na upande wowote
Najihisi mwenye furaha na amani, najiona mshindi. 😊

Sergio
kutokula nyama pia ni kutenda dhambi kwa kukiuka maagizo ya Mungu ya kuitawala dunia na vyote vilivyomo....kumbuka pia Mungu hupokea sadaka za kuteketeza.
 
Hongera,
Kuna vitu nataka niachane navyo kabisa ila kwa wakati fulani natumia japo kwa kiasi sana kutokana na mazingira
[emoji736]Soda naweza kumaliza hata miezi sita sijanywa,nakunywa napolazimika tu
[emoji736]Nina miaka mingi situmii majani ya chai/kahawa
[emoji736]Nataka niachane kabisa na sukari ya kiwandani ila sijapata mbadala kwa hio natumia japo kwa kiwango kidogo sana
[emoji736]Natamani niache kunywa dawa za viwandani nitumie herbs tu japo bado nakumbana na vikwazo fulani.

Hili la kuachana kabisa na sukari kama kuna mtu kafanikiwa atuambie amewezaje?
Tumia sukari guru (jaggery) kama mbadala wa sukari ya kawaida, unapata more nutrients japokuwa sukari ni sukari
 
Tumia sukari guru (jaggery) kama mbadala wa sukari ya kawaida, unapata more nutrients japokuwa sukari ni sukari
Lengo langu ni kuacha sukari kabisa,naona kama sugari guru haina tofauti na sukari
 
Nakutamania, maisha mazuri hayo ila usijinyime sana ukatenda dhambi..mie nisipokula nyama 3dys roho hua inataka kutoka!

Soda nisipokunywa Coca sifanyi kitu nakua zoba.

Hapa niko sehem nasubiria mishikaki kwanza.

All the best
Mkuu, wewe Mmasaai?

Mimi nisipokunywa Nyagi naumwa kabisa!!
 
Mkuu, wewe Mmasaai?

Mimi nisipokunywa Nyagi naumwa kabisa!!
Hamna...ila jamii za nyama napenda sana..samaki,maini,figo,firigis,mbuz, dah nikabidhi tu jiko aisee nifanye maajabu sipend kitu MAHARAGE
 
Hamna...ila jamii za nyama napenda sana..samaki,maini,figo,firigis,mbuz, dah nikabidhi tu jiko aisee nifanye maajabu sipend kitu MAHARAGE
Wee! Nikabidhi jiko nikutayarishie maharage, spinach zilizofungama na mchicha na nyanya chungu. Ukitumia hii recipe na wali wako kiasi utajiuliza maswali mia kenda recipe rudi šŸ¤—
 
Wee! Nikabidhi jiko nikutayarishie maharage, spinach zilizofungama na mchicha na nyanya chungu. Ukitumia hii recipe na wali wako kiasi utajiuliza maswali mia kenda recipe rudi šŸ¤—
Ah wapi best..veggies nayopenda ila nipike mwenyewe ni mchicha ..mayb na majani ya kunde kias..ah maharage mm hapana
 
Habari [emoji1480]

Siku ya leo nikiwa natimiza miaka kadhaa nimekuwa VEGAN rasmi. Hatua hii nimekwisha ianza muda toka 28 January, hivi sasa naendeleza nadhiri hii rasmi katika mfumo wa maisha yangu.

Nimekuwa nikijiuliza utajiita vipi mwenye upendo, heshima au mtu unayejali hisia na kuheshimu wengine ikiwa umeshindwa kuheshimu uwepo wa viumbe wengine kama wanyama, ndege na wengineo?

Kwa kujali na kuona umuhimu wa kila kiumbe nimekuwa nikivijali viumbe vyote mfano, huwatengea waramba sukari kiasi chao pasi ya kuwapatia bugdha, uhifadhi mayai ya kuku na kutotoa wengine kuendeleza uzao wao, hutembea na wanyama mbalimbali katika maeneo kadhaa waweze kijihisi umiliki nk.

Leo nimepanda miti 28 maeneo yayonizunguka na miti 21 maeneo ya umma katika shule 2, hospitali, eneo la jeshi, kituo cha wasiojiweza na watoto waishio mazingira hatarishi na katika ofisi za wilaya.

Nikiwa kama kijana anayezingatia maisha halisi leo ni wazi sitotumia tena bidhaa zinazotokana na wanyama na viumbe mbalimbali. Hili linaambatana na masuala kadhaa katika mfumo wangu wa maisha ninaoendelea kuufuata ikiwa ni pamoja na;-
  • Sishiriki mapenzi (Sex)
  • Situmii vinywaji kemikali (Processed Drink's)
  • Situmii bidhaa zenye sukari ongezwa (Candy's)
  • Situmii bidhaa zinafanywa majaribio kwa wanyama
  • Nimejiweka mbali na uovu na negativity ya aina yoyote
  • Sifungamani na upande wowote
Najihisi mwenye furaha na amani, najiona mshindi. [emoji4]

Sergio
Kuna mtu mwngine amewahi kufanya mambo kama haya ila alikua anafanya kupitia Android app
 
Back
Top Bottom