Nimeanza maisha mapya kama Vegan

Nimeanza maisha mapya kama Vegan

Kula nyama haimanishi wewe ni mtu mbaya kwa ulimwengu, bali unakua katika nafasi yako ya food chain kama simba anavyokula swala. Ulimwengu ndivyo ulivyo tunakulana, na sisi pia miili yetu huliwa na viumbe wengine. Kihistoria survival ya binadamu kama specie imetegemea kwa kiasi kikubwa sana ulaji wa nyama.

Naomba mikuulize lengo lako kubwa la kuacha sex ni nini? Unaaamini sex inashida gani?
Nimegundua sex ni kipeuo cha ouvu, utumwa na ujinga. Sex inapoteza uhalisia wa mwanadamu na sababu nuai ya maisha. Sex hupoteza focus, concentration na heshima. Sex ni kichaka na kilinge cha watu dhaifu kiroho na kimwili.
 
Hivi miti na mimea si ni viumbe hai navyo mkuu? Huvionei huruma navyo? Kwanini unakula mchicha au spinachi wakati ili uukule lazima uuchume (Ndio kuua kwenyewe huko)?

We jilie tu vyote vinavyoruhusiwa ila mengine fanya kama ulivyoamua.

Nje ya mada, hautashiriki sex ndio kusema hautaoa wala nini? Vipi puchu?
Puchu ni lazima
 
Nafikiri Yote hayo hata mimi naweza ila kasoro moja tu.!
Yaani niache kabisa kufaidi "Mbususu" za hivi videmu vya chuo hapa Dodoma?
huo mtihani hapana aisee hivi vitoto vitamu sana jaman
 
Ni vzr japo wengi hushindwa kumaliza licha ya kuanza vzr kama hivi, jiandae kwa mitihani mingi kwa uamuzi wako but tafadhari mshirikishe Mwenyezi Mungu kwa mujibu wa imani yako, pekeyako huwezi kwa ulimwengu huu wa leo.
 
Asante na shukrani kwa ushauri wako.
 
Haya anayafanya akiwa hapa hapa duniani ama anakua kwenye sayari yake nyingine?
kwani mimea nayo si ni viumbe hai? kwa nini anakula mboga za majani, matunda na yote yatokanayo na mimea? kwa nini ukaudhoofishe mti wa bange kwa kuchuma majani yake na baadae unyonge msokoto na kuyaunguza majanihayo wakati wa kunyonya wida?
 
Nakutamania, maisha mazuri hayo ila usijinyime sana ukatenda dhambi..mie nisipokula nyama 3dys roho hua inataka kutoka!

Soda nisipokunywa Coca sifanyi kitu nakua zoba.

Hapa niko sehem nasubiria mishikaki kwanza.

All the best
Mishikaki ya dogi inapendeza zaidi
 
Mkuu punguza Coca kidogo kidogo,ukiweza acha kabisa ila ukishindwa kuacha kunywa mara moja moja sana. Nyama sijajua unakula kiasi gani kwa mlo mmoja,ila kama ni nusu kilo au kilo punguza pia. Ila kama ni hizi za kutengeneza na ndizi au mboga sawa.
Pork sili kbs mkuu...sili nyama nyingi kivilee ...kama ni mishkak mayb 5!lakini kwenye coca ndo uraibu uko hapo ..! Najikaza sana . Nataman kukata kbs
 
Habari 👋🏾

Siku ya leo nikiwa natimiza miaka kadhaa nimekuwa VEGAN rasmi. Hatua hii nimekwisha ianza muda toka 28 January, hivi sasa naendeleza nadhiri hii rasmi katika mfumo wa maisha yangu.

Nimekuwa nikijiuliza utajiita vipi mwenye upendo, heshima au mtu unayejali hisia na kuheshimu wengine ikiwa umeshindwa kuheshimu uwepo wa viumbe wengine kama wanyama, ndege na wengineo?

Kwa kujali na kuona umuhimu wa kila kiumbe nimekuwa nikivijali viumbe vyote mfano, huwatengea waramba sukari kiasi chao pasi ya kuwapatia bugdha, uhifadhi mayai ya kuku na kutotoa wengine kuendeleza uzao wao, hutembea na wanyama mbalimbali katika maeneo kadhaa waweze kijihisi umiliki nk.

Leo nimepanda miti 28 maeneo yayonizunguka na miti 21 maeneo ya umma katika shule 2, hospitali, eneo la jeshi, kituo cha wasiojiweza na watoto waishio mazingira hatarishi na katika ofisi za wilaya.

Nikiwa kama kijana anayezingatia maisha halisi leo ni wazi sitotumia tena bidhaa zinazotokana na wanyama na viumbe mbalimbali. Hili linaambatana na masuala kadhaa katika mfumo wangu wa maisha ninaoendelea kuufuata ikiwa ni pamoja na;-
  • Sishiriki mapenzi (Sex)
  • Situmii vinywaji kemikali (Processed Drink's)
  • Situmii bidhaa zenye sukari ongezwa (Candy's)
  • Situmii bidhaa zinafanywa majaribio kwa wanyama
  • Nimejiweka mbali na uovu na negativity ya aina yoyote
  • Sifungamani na upande wowote
Najihisi mwenye furaha na amani, najiona mshindi. 😊

Sergio
Jiandae kuzikwa na gunzi kwenye tigo
 
Sasa mkuu ngozi Ina shida gani nayo hadi uiache?
 
Back
Top Bottom