Nimeanza maisha mapya kama Vegan

Nimeanza maisha mapya kama Vegan

Mkuu hongera sana, hakika ni commitment ya juu sana.

Mi nina swali hapo kuhusu sex, na ukaongeza kuwa huna tatizo lolote la uzazi. Swali langu ni kuwa je, hiyo kitu yako inasimama? Kama ilivyo ada kwa rijali kila siku asubuhi na occasionally unapotamani? au huwa hautamani? Na ikitokea hivyo unafanyaje kuiondoa hali hiyo.

Je haujawahi kabisa kufanya au umewahi na kwa sasa umeamua kuacha? unaacha sex tu au unaacha kabisa kufanya mapenzi ya aina yoyote ile?

Je kwenu ninyi watu wa aina hiyo, au kwako wewe ninini maana ya maisha? na ninini kinakupa furaha?

Kuhusu chakula na vinywaji Hongera sana, binafsi nimejipima nikaona siwezi kuacha kula kuku na nyama choma.

Otherwise, Kila la heri ndugu.
Asante

Najibu maswali yako kama ifuatavyo;- | Nipo stable kuanzia asubuhi na pale inapobidi au kutokea ni moja ya watu wachache sana waliokuwa active hakika. Kuhusu kutamani naweza kusema ndiyo!

Mara nyingi hali ya namna hii inanipelekea kutengeneza schedule muhimu ikiwa ni pamoja na siku nne katika wiki huwa na intensive workout kwa masaa 2 - mazoezi zaidi ya jeshi, siku tatu bakia hufanya hiking na ku-explore maeneo mapya.

Sijawahi kushiriki sex, nimeacha mapenzi ya aina yoyote ile. | Maana ya maisha kwangu ni kuiongoza dunia as intended, kuifikisha mahala salama na kufanya mambo mapya. Furaha kwangu ni sanaa na ubunifu na ndio chimbuko la kitu katika maisha yetu.

Naweza kujibu hivi kwa sasa 😉
 
Majibu mazuri sana, Kila la heri rafiki.
 
Mkuu unaniconvince Sana na hii life style, Naomba nije pm unipe procedure ntawezaje hii kitu.. do'z and Don'tz
Asante

Najibu maswali yako kama ifuatavyo;- | Nipo stable kuanzia asubuhi na pale inapobidi au kutokea ni moja ya watu wachache sana waliokuwa active hakika. Kuhusu kutamani naweza kusema ndiyo!

Mara nyingi hali ya namna hii inanipelekea kutengeneza schedule muhimu ikiwa ni pamoja na siku nne katika wiki huwa na intensive workout kwa masaa 2 - mazoezi zaidi ya jeshi, siku tatu bakia hufanya hiking na ku-explore maeneo mapya.

Sijawahi kushiriki sex, nimeacha mapenzi ya aina yoyote ile. | Maana ya maisha kwangu ni kuiongoza dunia as intended, kuifikisha mahala salama na kufanya mambo mapya. Furaha kwangu ni sanaa na ubunifu na ndio chimbuko la kitu katika maisha yetu.

Naweza kujibu hivi kwa sasa 😉
 
Ikiwa sijawahi kufeli, siamini katika kitu kufeli na katu sitokuja kufeli. Huu ni mwaka wa 21 bila sex ije kushindwa miaka kadhaa bakia?

Mkuu, Unadinda au umekata makende?
Unawezaje? Huoti ndoto za kupunguza ujazo kweli? Na kama unaota unazitafsiri vipi?
 
Sijaoa na sitegemei kuoa. Dunia yote hii inanitegemea.

Unatafsiri vipi kuzaliwa kwako? Yaani una link vipi kuzaliwa kwako na kuona labda na wewe unahitajika uzae ili kuendelea huo uhai kwenye dunia, maana sisi na mimea tunategemeana what if kila mmoja aseme asizae yaani tufate hiyo " right path of yours" ?
 
Habari 👋🏾

Siku ya leo nikiwa natimiza miaka kadhaa nimekuwa VEGAN rasmi. Hatua hii nimekwisha ianza muda toka 28 January, hivi sasa naendeleza nadhiri hii rasmi katika mfumo wa maisha yangu.

Nimekuwa nikijiuliza utajiita vipi mwenye upendo, heshima au mtu unayejali hisia na kuheshimu wengine ikiwa umeshindwa kuheshimu uwepo wa viumbe wengine kama wanyama, ndege na wengineo?

Kwa kujali na kuona umuhimu wa kila kiumbe nimekuwa nikivijali viumbe vyote mfano, huwatengea waramba sukari kiasi chao pasi ya kuwapatia bugdha, uhifadhi mayai ya kuku na kutotoa wengine kuendeleza uzao wao, hutembea na wanyama mbalimbali katika maeneo kadhaa waweze kijihisi umiliki nk.

Leo nimepanda miti 28 maeneo yayonizunguka na miti 21 maeneo ya umma katika shule 2, hospitali, eneo la jeshi, kituo cha wasiojiweza na watoto waishio mazingira hatarishi na katika ofisi za wilaya.

Nikiwa kama kijana anayezingatia maisha halisi leo ni wazi sitotumia tena bidhaa zinazotokana na wanyama na viumbe mbalimbali. Hili linaambatana na masuala kadhaa katika mfumo wangu wa maisha ninaoendelea kuufuata ikiwa ni pamoja na;-
  • Sishiriki mapenzi (Sex)
  • Situmii vinywaji kemikali (Processed Drink's)
  • Situmii bidhaa zenye sukari ongezwa (Candy's)
  • Situmii bidhaa zinafanywa majaribio kwa wanyama
  • Nimejiweka mbali na uovu na negativity ya aina yoyote
  • Sifungamani na upande wowote
Najihisi mwenye furaha na amani, najiona mshindi. 😊

Sergio
Mara ya mwisho ni lini umecheki maleria!!?
sioni afya ya akili hapa
 
Habari [emoji1480]

Siku ya leo nikiwa natimiza miaka kadhaa nimekuwa VEGAN rasmi. Hatua hii nimekwisha ianza muda toka 28 January, hivi sasa naendeleza nadhiri hii rasmi katika mfumo wa maisha yangu.

Nimekuwa nikijiuliza utajiita vipi mwenye upendo, heshima au mtu unayejali hisia na kuheshimu wengine ikiwa umeshindwa kuheshimu uwepo wa viumbe wengine kama wanyama, ndege na wengineo?

Kwa kujali na kuona umuhimu wa kila kiumbe nimekuwa nikivijali viumbe vyote mfano, huwatengea waramba sukari kiasi chao pasi ya kuwapatia bugdha, uhifadhi mayai ya kuku na kutotoa wengine kuendeleza uzao wao, hutembea na wanyama mbalimbali katika maeneo kadhaa waweze kijihisi umiliki nk.

Leo nimepanda miti 28 maeneo yayonizunguka na miti 21 maeneo ya umma katika shule 2, hospitali, eneo la jeshi, kituo cha wasiojiweza na watoto waishio mazingira hatarishi na katika ofisi za wilaya.

Nikiwa kama kijana anayezingatia maisha halisi leo ni wazi sitotumia tena bidhaa zinazotokana na wanyama na viumbe mbalimbali. Hili linaambatana na masuala kadhaa katika mfumo wangu wa maisha ninaoendelea kuufuata ikiwa ni pamoja na;-
  • Sishiriki mapenzi (Sex)
  • Situmii vinywaji kemikali (Processed Drink's)
  • Situmii bidhaa zenye sukari ongezwa (Candy's)
  • Situmii bidhaa zinafanywa majaribio kwa wanyama
  • Nimejiweka mbali na uovu na negativity ya aina yoyote
  • Sifungamani na upande wowote
Najihisi mwenye furaha na amani, najiona mshindi. [emoji4]

Sergio
Ukiwa vegan utakosa virutubisho vingi kutoka kwa wanyama kama protein na mafuta ya wanyama
 
Back
Top Bottom