😂😂😂😂Nitaazima kwako
Wazo zuri vipi kuhusu kumuudumia mwanamke uliye zaa nae lakini sio mkeo nae uhudumii?Sasa wewe gia uliyoingia nayo una -mtreat kama Queen kumbe Paka tu ,,,, !
Mm huwa nina hulka moja, nikimtaman ke, huwa nikichukua namba pale mwanzo huwa namuambia "nataka nikuibe Leo ama weekend, nambie nakuibaje, hapo nataka bargain, nikiona poa nakula mzigo, ikitokea nimetaka tena nitamlipa, mambo ya kuhudumia siwezi, huyo sio mkeo !
Umeona eeee🤣🤣🤣🤣hahahaha dah,
hawauzi lakini hawatoi bure pia
Naam 😀Umependa nini hapo huyo malaya tu aliejificha kwenye uso wa kuombaomba, maana hapo ana namba zaidi ya 100 na zote anaomba zimtumie salio
Demu Msukuma huyoo..😆.Mlimi huwa nashangaa mtu/ demu hajui kuandika kiswahili vizuriNani kaona "katugute" ? 😂
Aya mambo bhana wazee wa kataa ndoa yatawatesa sana pole yao aseeUkamlipia deni
Nipe namba yake nimkanye!
100% sure!!Kwa aina ya wanawake tulio nao miaka hii ni ama uamue kuhudumia malaya au ununue malaya
Ila uamuzi bora zaidi ni kununua malaya
Ni ujinga sana kuhudumia malaya
Mdanganye ajaribu aone labda kama manzi sio Malaya vinginevyo ataishia kufedheeka tu!!Unatuma iyo buku kisha unamwambia njoo uchukue hela ya kula achomoki unakula kisha una mwambia nenda nakutumia af una block kama mjuzi itabidi umtumie
Ewaaa makato ya Nini Tena labda amtumie na yakutolea watu wanataka cash vinginevyo ataaibika mtu hapo yaani sio poa🤣Hata hiyo ya kuhamisha miamala ni zamani, 😂😂😂😂
Sahivi hakuna wa kumtumia kwa simu, ili akatwe? Utampa mkononi, utake, usitake.
😂😂😂😂😂😂
Na Mimi nimeshamwambia ajaribu aone!!!Jaribu uone kitakachokukuta utakuja kusimulia ila jitahidi sana ufanye mbali na watu wanapokufahamu maana aibu na fedhea utakayoipata sio ndogo
Watakuja kubali somo tuAya mambo bhana wazee wa kataa ndoa yatawatesa sana pole yao asee
Kwa masaa kadhaa unanunua kisha yakiisha unamuacha na bidhaa yake ila ushainunua kwa muda na kuitumia kwa muda, ukitaka kuinunua jumla jumla ndio vile unawafugia na wengine chama la wana unakula na wao wanakula, akili kichwaniHivi huwa zinanunulika ama wanatoa huduma
Bata Tredihahahaha dah,
hawauzi lakini hawatoi bure pia