Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 23,947
- 31,815
Aisee
huwez kuta mtoto wa kishua au pisi inayojielewa inaomba had vocha bora aseme dau tujue anauza tununue...Labda Baba yake ni Billionaire masikini mkuu huwezi jua
😄😄😄😄 " can you help me" lol 🚮 kuna vimtu havina aibu...Sijachemka kabisa mkuu ila huyu kaja naa mbinu mpya ya kivita, yaan meseji ya kwanza tu anataka bando ndio muendelee na mazungumzo mengine
View attachment 3394747
Ndio maana nikamwambia ukweli ila alivyo na anachofanya havifananii hata kidogo hapo ndio unashangaa hii inakuaje hii, na kuna wajinga wanatuma kweli sio mimi mimi nimeshtukahuwez kuta mtoto wa kishua au pisi inayojielewa inaomba had vocha bora aseme dau tujue anauza tununue...
Hao wazembeeUnachekeshaa wee, 😂😂😂😂
Jaribu uoneee. Usisahau mrejeshoo.
Kwamba mimi siwez piga mtu😂😂😂😂 sasa wee mwachi hata nguvu ya kupiga unayoo?
Unachekeshaa wee, 😂😂😂😂😂
😂😂 wamjini shida nyingine iyoUmetisha Mkuu, ila Gubegube la mjini lazima lije getoni mwako likiwa limevaa jinsi gumu linalobana ili likuchune tu bila kukupatia kisusio😁
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Hapo sasa, 😂😂😂😂Hahaha ni aibu bora umlipe aende tu hakuna haja ya kujaziana watu na kutiana aibu asubuhi kumekucha
Nguvu uzitoe wapii? 😂😂😂😂Kwamba mimi siwez piga mtu
Jaribuuuu, 😂😂😂Hao wazembee
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Ila wanawake akili zao wanazijua wenyewe aise .yani hawataki kupanua halafu hela wanaitaka.hahahaha dah,
hawauzi lakini hawatoi bure pia
Hawa malaya kuomba omba mimi sioni tatizo, tatizo ni hawa wake za watu nao wanaombaomba sana kama hawa malaya tuu.Mpo busy na kupe, mtakufa masikini wallah. Wanawake wa sasa tumia akili sana kwenda nao sawa, bahati mbaya tunakitaka kipapa, wamesema hawauzi ila hawatoi bure...noma sana!!
Endelea kununua siku ndomu ikipasuka ndo utajua hujuiHahaha hatari sana yaan bora kununua tu, shenzitaipu
Kuna msg apo juu Mzee uliomba ndogo bila shaka...akakujibu katafute machangudoaWakuu, yaan hapa bora kununua tu kuliko kuleteana mambo ya ajabuView attachment 3394718
Nitaazima kwakoNguvu uzitoe wapii? 😂😂😂😂