Nimeanza kuamini kwamba Bora Kununua tu…

Nimeanza kuamini kwamba Bora Kununua tu…

Kwa hio na wewe unasema bora kununua tu?
2022 kuna Ke nilimwomba no hajageuza hata uso vizuri SMS hiyo "Tafadhali niongezee salio" nilimpigia simu kujiridhisha alikubali ni yeye nilimtumia 5000, kesho yake kashaniomba nimlipie kodi ya nyumba muda huo akidai hajiuzi, nilimjibu sina tukachati kidogo tu mara oooh "njaa inaniuma sijala" nikamwambia tukutane nikupe unipe akajibu sawa, nikampatia 10,000 alinunua chipsi kuku, soda pesa ikasha. Alijitetea "kesho ataenda kazini nimvumilie baada ya siku 5 nilimkubalia, siku iliyofatia alikuwa akichati nami kwa kusuasua sana, nilimuuliza kwanini anachelewa kujibu SMS? Alinijibu kuwa "hajisikii vizuri anahisi ana homa", kumuuliza anasubiri nini kwenda hospitalini? Alinijibu "hana pesa, nikamwambia aje geto achukue pesa eti oooh hali yangu ni mbaya sitaweza kuja ila nikienda alipo yeye atasogea distance km 1 nimpe pesa aende hospitalini"

Naunga mkono hoja na mguu Me tununue tu Ke, hakuna kupendwa bila kutanguliza chapaa.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Wakuu, yaan hapa bora kununua tu kuliko kuleteana mambo ya ajabu.

.View attachment 3394718
Yaani hii gender war inayoendelea huku mitandaoni tamu kweli.
Mwanaume akinyima tunda makasiriko, mwanamke akinyiwa hela makasiriko.
Basi sii kila mtu abaki na chake.

Ila nakubaliana na wewe bora uingie tinder upate totoz kama hivi wikend unajipigia weee hadi raha. Hamna kunatana
 
Ndio mmestika Leo mtakubali tu Mimi nimepitia yote Aya now mimejichagulia pisi yangu Moja naishi nayo now mwaka na nusu sasa mambo ya upwiru sio kesi zangu Tena maishani nakula nitakavyo wazee wa kataa ndoa mpaka mtaelewa tu kudadeki🤣
😂😂😂😂😂
 
Unatuma iyo buku kisha unamwambia njoo uchukue hela ya kula achomoki unakula kisha una mwambia nenda nakutumia af una block kama mjuzi itabidi umtumie
Umetisha Mkuu, ila Gubegube la mjini lazima lije getoni mwako likiwa limevaa jinsi gumu linalobana ili likuchune tu bila kukupatia kisusio😁

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
2022 kuna Ke nilimwomba no hajageuza hata uso vizuri SMS hiyo "Tafadhali niongezee salio" nilimpigia simu kujiridhisha alikubali ni yeye nilimtumia 5000, kesho yake kashaniomba nimlipie kodi ya nyumba muda huo akidai hajiuzi, nilimjibu sina tukachati kidogo tu mara oooh "njaa inaniuma sijala" nikamwambia tukutane nikupe unipe akajibu sawa, nikampatia 10,000 alinunua chipsi kuku, soda pesa ikasha. Alijitetea "kesho ataenda kazini nimvumilie baada ya siku 5 nilimkubalia, siku iliyofatia alikuwa akichati nami kwa kusuasua sana, nilimuuliza kwanini anachelewa kujibu SMS? Alinijibu kuwa hajisikii vizuri anahisi ana homa", kumuuliza anasubiri nini kwenda hospitalini? Alinijibu "hana pesa, nikamwambia aje geto achukue pesa eti oooh hali yangu ni mbaya sitaweza kuja ila nikienda alipo yeye atasogea distance km 1 nimpe pesa aende hospitalini"

Naunga mkono hoja na mguu Me tununue tu Ke, hakuna kupendwa bila kutanguliza chapaa.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Nimekuelewa sana mkuu ila hawa watu wanatupa changamoto sana yaan wanataka kukupiga tu kisha walale mbele yaan siku zinavyozidi ndivyo matumizi yanaongezeka
 
😂😂😂😂😂
Jamaaa alikunjwa shati, anajifanya mbabe, anashangaa kende zimeminywaa, "unatoa hutoi"
Mdada piga kelelee "mwiziiii huyuu" wapangaji wenzie walio vyumba vingine kujaa shazi pale mlangoni.

Mkaka wa watu, afu mtumishi wa serikali, alijawa na aibu, alijuta kabisaa. Lol
😂😂😂😂
Hahaha ni aibu bora umlipe aende tu hakuna haja ya kujaziana watu na kutiana aibu asubuhi kumekucha
 
Nimekuelewa sana mkuu ila hawa watu wanatupa changamoto sana yaan wanataka kukupiga tu kisha walale mbele yaan siku zinavyozidi ndivyo matumizi yanaongezeka
Wapitishe tu sheria za ndoa za mikataba maana usikute wengine ni Wake za Watu ila hawakwambii, ghafla utafumaniwa utafanyiwa umafia bila ya kuwa na hatia kisa tamaa tu za Ke uliyekutana naye.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Achana na vitoto vya maskini wa akili na pesa,tafuta mtoto V.I.P wanaohitaji mahaba na mapenzi ya kweli (peace of mind)
N.B:kama pesa ingekuwa rahisi hivyo baba ake angekuwa Bilionea stupd.
Labda Baba yake ni Billionaire masikini mkuu huwezi jua
 
Hio nmba ulipotoa unapafahamu sio lzm niseme hapa ushaelewa malegend tshajua huyo ni malaya vilevile
 
Back
Top Bottom