Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 12,598
- 35,866
Kwishaaa
😂😂😂😂Hata siku moja situmi
Sikia kuna manzi mmoja niliruka nae hivi hivi basi chatting za hapa na pale akaanza mambo hayo hayo ya vocha, akanilazimisha sana alikua anataka 5k nikaona 5k kitu gani na ukizingatia mtoto tayari nimemwelewa si nikafanya muamala bila wasi tena alilazimisha anataka salio la kawaida kwa hio nifanye km namuongezea salio kwenye laini yake ya tigo, nikafanya hivyo eeh si unarudi ujumbe umemlipia mkopo wa Niwezeshe mteja mwenye namba hii kiasi cha 5k, ikabidi nivute waya nimpigie kumuuliza ndio umefanya nini? Jibu lake liliniacha hoi sana
Unatuma iyo buku kisha unamwambia njoo uchukue hela ya kula achomoki unakula kisha una mwambia nenda nakutumia af una block kama mjuzi itabidi umtumieWeka hapa mbinu za kivita tuone utavyomnunua huyo Malaya Mkuu, inaonekana Mwamba kachemka namna ya kumshawishi Malaya ataje bei atayojiuza nayo.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Sijachemka kabisa mkuu ila huyu kaja naa mbinu mpya ya kivita, yaan meseji ya kwanza tu anataka bando ndio muendelee na mazungumzo mengineWeka hapa mbinu za kivita tuone utavyomnunua huyo Malaya Mkuu, inaonekana Mwamba kachemka namna ya kumshawishi Malaya ataje bei atayojiuza nayo.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Moyo uhuu suguNdio mkuu usije ukaenda kuumizwa huko ukaanza kunilaumu mimi huku,
Bora uwaambie, hakuna cha buree, maana hata nyeto hizo sabuni na mafuta wanananua pia. LolMapenzi ni pesa, hata malaya anataka malipo baada ya huduma !
Mm nashauri mtu kama haupo sawa kiuchumi hizi mbanga za wanawake ziweke pembeni kwa mustakabali mkubwa wa uchumi wako
Sijachemka kabisa mkuu ila huyu kaja naa mbinu mpya ya kivita, yaan meseji ya kwanza tu anataka bando ndio muendelee na mazungumzo mengine
View attachment 3394747
Sasa wewe gia uliyoingia nayo una -mtreat kama Queen kumbe Paka tu ,,,, !Bora uendelee kununua taratibu taratibu kuliko kuendelea kusumbuana akili na hawa watu
Ngumu sana upate k ya bure bureBora uwaambie, hakuna cha buree, maana hata nyeto hizo sabuni na mafuta wanananua pia. Lol
😂😂😂😂😂
Unadhani Ke wanaojiuza kwenye Badoo, Tango, Instagram, Telegram, Facebook, Twitter na porn sites huishi sayari zingine tofauti na hawa hawa akina Sikudhani wa Ushirombo?Hata siku moja situmi
Sikia kuna manzi mmoja niliruka nae hivi hivi basi chatting za hapa na pale akaanza mambo hayo hayo ya vocha, akanilazimisha sana alikua anataka 5k nikaona 5k kitu gani na ukizingatia mtoto tayari nimemwelewa si nikafanya muamala bila wasi tena alilazimisha anataka salio la kawaida kwa hio nifanye km namuongezea salio kwenye laini yake ya tigo, nikafanya hivyo eeh si unarudi ujumbe umemlipia mkopo wa Niwezeshe mteja mwenye namba hii kiasi cha 5k, ikabidi nivute waya nimpigie kumuuliza ndio umefanya nini? Jibu lake liliniacha hoi sana
Nani huyo wa kumdanganya utamtumia kwa simu? Usawa huu? Unajidanganya, hata usijaribu.Unatuma iyo buku kisha unamwambia njoo uchukue hela ya kula achomoki unakula kisha una mwambia nenda nakutumia af una block kama mjuzi itabidi umtumie
Hakunaaaa.Ngumu sana upate k ya bure bure
😂😂😂😂😂Unadhani Ke wanaojiuza kwenye Badoo, Tango, Instagram, Telegram, Facebook, Twitter na porn sites huishi sayari zingine tofauti na hawa hawa akina Sikudhani wa Ushirombo?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.