Nimeanza kuamini kwamba Bora Kununua tu…

Nimeanza kuamini kwamba Bora Kununua tu…

Kuna mmoja aliniomba salio, nikamtumia kwa muamala, ila hakunijulisha kama amepata. Nikamtumia ujumbe, hakujibu. Ikabidi nimpigie, hakupokea simu.

Nikaamua kurudisha muamala, muamala uliporudi tu, ndipo akanitumia ujumbe, asante kwa kurudisha muamala wewe ni katili sana.

Hawa viumbe usiwafikirie sana, hawana huruma na wewe, jijali kwanza na hudumia sehemu ambayo mnasikilizana na kupeana furaha.​
 
Hapo mkuu umefanya jambo la maana sana ingawa kwenye 10 kuna mmoja yupo ana angalau ila anaharibiwa na wale wengine 9 kwa hio wote wanakua ndio walewale, hii ilishanitokea miaka mingi iliyopita ni story nyingine
 
Mpaka aombe kwa aliyemtumia meme 😂😂
Watch out sio kwamba nimetumiwa meme na hii sio meme

Screenshot_20250705_161453.jpg
 
Ulimuuliza ni vitu gani hivyo 4-5 vifanyike ndo atoke?
Kwanza bando
Pili nimpigishe shopping
Tatu ale ashibe
Nne aende saloon akajipige wanaita RETOUCH

Hapo hatujaongea chochote bado

Screenshot_20250705_172839.jpg
 
Back
Top Bottom