Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,610
- 59,584
- Thread starter
- #21
Hata siku moja situmiAah kwenye kikao hukuwepo nini,
Sema kama nivocha tu itume mkuu nikama ulimbo huo
Sikia kuna manzi mmoja niliruka nae hivi hivi basi chatting za hapa na pale akaanza mambo hayo hayo ya vocha, akanilazimisha sana alikua anataka 5k nikaona 5k kitu gani na ukizingatia mtoto tayari nimemwelewa si nikafanya muamala bila wasi tena alilazimisha anataka salio la kawaida kwa hio nifanye km namuongezea salio kwenye laini yake ya tigo, nikafanya hivyo eeh si unarudi ujumbe umemlipia mkopo wa Niwezeshe mteja mwenye namba hii kiasi cha 5k, ikabidi nivute waya nimpigie kumuuliza ndio umefanya nini? Jibu lake liliniacha hoi sana