Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,610
- 59,584
- Thread starter
- #61
Mkuu acha kabisa yaan tena wala sikumdhania kabisa the way alivyo na the way ana-behave ni differentUnadhani Ke wanaojiuza kwenye Badoo, Tango, Instagram, Telegram, Facebook, Twitter na porn sites huishi sayari zingine tofauti na hawa hawa akina Sikudhani wa Ushirombo?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.